TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe. Amina
 
Kusoma ni hobbies mm nimewai kufanya assignment nyingi sana za watu na field report writing nyingi sana pia research za watu wengi sana Mimi ni mtu napenda sana kusoma soma hapa nataka mwakani nitafute evening program ya postgraduate study Ili nifanye diversity

Kwa hii miaka mitano nimekua mbele ya computer 24/7 naku attending phone calls nyingi sanaa last months nimeanza ona macho yanaanza kunisumbua sana hasa jicho la kulia linauma pia currently kutokana na kua busy sanaa Kila siku kwenye ma computer nimeanza kuona nimepungukiwa uwezo wangu kiakili kama zamani & Naona Ile smartness yangu ya zamani inapungua...

MWENYEZ MUNGU ATUSAIDIE SANAA
Usisahau ku enjoy maisha mkuu , maana maisha yetu ni mafupi sana kuyatumia yote kwa kusoma tu
 
Digrii nyingi Hazinaga urithi kwa watoto labda kama ameacha hazina ya kitaaluma. Ni bora uwekeze kwenye ardhi au viwanda watoto wako watarithi kuliko PhD nyingii za kutishia watu. PhD zote hizo bado ni muajiriwa kashindwa kuanzisha hata kampuni la kuuza utalaam(consultant co).

Mwafwenga ana ombwe ktk modern skill set hasa ktk kuuza ujuzi, ana elimu very traditional ambayo inabidi uajiriwe tu vinginevyo asingekuwa muajiriwa angekuwa ni mmiliki wa makampuni na mwajiri.
We have to learn to adapt modern skill set.
Tuachane na digrii za sifa.
Shaban Robert hakuwa hata na digrii moja lakini ni maarufu kuliko wenye madigrii mengi wa wakati wake.
 
Si material pekee ndiyo urithi pengine kawaachia maarifa kama yake na wapo more independent kuliko yeye mwenyewe
 
Kusoma ni hobbies mm nimewai kufanya assignment nyingi sana za watu na field report writing nyingi sana pia research za watu wengi sana Mimi ni mtu napenda sana kusoma soma hapa nataka mwakani nitafute evening program ya postgraduate study Ili nifanye diversity

Kwa hii miaka mitano nimekua mbele ya computer 24/7 naku attending phone calls nyingi sanaa last months nimeanza ona macho yanaanza kunisumbua sana hasa jicho la kulia linauma pia currently kutokana na kua busy sanaa Kila siku kwenye ma computer nimeanza kuona nimepungukiwa uwezo wangu kiakili kama zamani & Naona Ile smartness yangu ya zamani inapungua...

MWENYEZ MUNGU ATUSAIDIE SANAA
Nami nakutana na the same problem ya macho.
Comp na sim zinaua macho tuchukue tahadhari sana.
Kusoma vitu vingi kunapelekea confusion of brain. Ubongo unapata chaos of information na kupata redundancy errors, Cyclic error, exception error nk Kwa hio unasahau, unakuchukua muda ku recall, unachanganya mambo nk
Kitu cha msingi anzisha madarasa huru ili kichwa ki refresh the Knowledge na kuwa active.
Anzisha you tube channel au blog au platform ya motivation ili utoe "nyongo" na kuitema na kichwa kitakuwa huru kuliko kukijaza tu maarifa yasio na kikomo.
Andika sana kwenye platform za watu kama JF Quora,Redet, Facebook nk.
Anzisha darasa la ushauri hasa kama ulipita na kwenye phychology au philosophy.
Una mambo mengi ambayo huna pa kuyapeleka hivyo tafuta pa kuyapeleka vinginevyo yatakudhuru!
Waone wataalamu wa tiba ya akili hasa kwenye mambo ya academic kwani kuna
baadhi ya watu hudhurika na abundant of information.
Tafuta muda uwe una relax na kufanya mambo ya kawaida kama kuvua kwa nduwaono, kucheza mziki,mpira, kulima, kusuka ungo, mkeka nk
Wasomi wengi sana wametengwa na ulimwengu wa kujamiiana na kuamini wamekamilika na ulimwengu wao( Ideal world) .
Elimu huwanyanganya watu uhuru wao na kuwapa uhuru bandia(umeisha wahi kumuona msomi anacheza ngoma za asili?) Jibu ni hapana kwa sababu huo uhuru alisha porwa kitambo!.
Kumbuka we are already programmed so to reprogram ni hatua nyingine.
We in the world of MATRIX kujitoa ni kazi.
Don't study too much anymore, tumia kwanza uliyoyakusanya kabla hijaongeza mengine.
Nyumbani kuna watu hubatizwa jina la
MAKUSANYA and some of them are crazy!

Fuata nyayo za Prof Lumumba au VUSI Tembekwayo, hawa jamaa wanajua na wameweza ku balance knowledge waliokusanya miaka mingi. Japojuwa Prof Lumumba amechanganyikiwa kwa mbali kwa sababu ya kuwa na inf nyingi zilizopitiliza.
 
Digrii nyingi Hazinaga urithi kwa watoto labda kama ameacha hazina ya kitaaluma. Ni bora uwekeze kwenye ardhi au viwanda watoto wako watarithi kuliko PhD nyingii za kutishia watu. PhD zote hizo bado ni muajiriwa kashindwa kuanzisha hata kampuni la kuuza utalaam(consultant co).

Mwafwenga ana ombwe ktk modern skill set hasa ktk kuuza ujuzi, ana elimu very traditional ambayo inabidi uajiriwe tu vinginevyo asingekuwa muajiriwa angekuwa ni mmiliki wa makampuni na mwajiri.
We have to learn to adapt modern skill set.
Tuachane na digrii za sifa.
Shaban Robert hakuwa hata na digrii moja lakini ni maarufu kuliko wenye madigrii mengi wa wakati wake.
Umeshauri kwa ulichokikariri darasani
 
Si material pekee ndiyo urithi pengine kawaachia maarifa kama yake na wapo more independent kuliko yeye mwenyewe
Unaweza kuwaachia maarifa uliyonayo watoto wako? Maarifa ambayo yanakuwa aproved na taasisi? Labda kuwaongoza tu nao wawe bookworms kama wewe. Wacheza mpira wachache wameweza kurithisga talents zao kwa watoto wao. Na mafundi baadhi wameweza sio acamic world haurithishiki.
Material tabarithishika kuliko utaalamu kama sheria walau injinia anaweza kupitisha maarifa kwa sababu kuna maeneo ya vitendo kama kuon, kugusa, kunusa.
Mfano nyumbani alipanga fundi motor, sasa wajukuu zake ndio wanamiliki ile ofisi kwa kurithishwa ujuzi ila huwezi kwa uhasibu au uanasheria havirithishiki ni hasara tu.
 
Back
Top Bottom