Nami nakutana na the same problem ya macho.
Comp na sim zinaua macho tuchukue tahadhari sana.
Kusoma vitu vingi kunapelekea confusion of brain. Ubongo unapata chaos of information na kupata redundancy errors, Cyclic error, exception error nk Kwa hio unasahau, unakuchukua muda ku recall, unachanganya mambo nk
Kitu cha msingi anzisha madarasa huru ili kichwa ki refresh the Knowledge na kuwa active.
Anzisha you tube channel au blog au platform ya motivation ili utoe "nyongo" na kuitema na kichwa kitakuwa huru kuliko kukijaza tu maarifa yasio na kikomo.
Andika sana kwenye platform za watu kama JF Quora,Redet, Facebook nk.
Anzisha darasa la ushauri hasa kama ulipita na kwenye phychology au philosophy.
Una mambo mengi ambayo huna pa kuyapeleka hivyo tafuta pa kuyapeleka vinginevyo yatakudhuru!
Waone wataalamu wa tiba ya akili hasa kwenye mambo ya academic kwani kuna
baadhi ya watu hudhurika na abundant of information.
Tafuta muda uwe una relax na kufanya mambo ya kawaida kama kuvua kwa nduwaono, kucheza mziki,mpira, kulima, kusuka ungo, mkeka nk
Wasomi wengi sana wametengwa na ulimwengu wa kujamiiana na kuamini wamekamilika na ulimwengu wao( Ideal world) .
Elimu huwanyanganya watu uhuru wao na kuwapa uhuru bandia(umeisha wahi kumuona msomi anacheza ngoma za asili?) Jibu ni hapana kwa sababu huo uhuru alisha porwa kitambo!.
Kumbuka we are already programmed so to reprogram ni hatua nyingine.
We in the world of MATRIX kujitoa ni kazi.
Don't study too much anymore, tumia kwanza uliyoyakusanya kabla hijaongeza mengine.
Nyumbani kuna watu hubatizwa jina la
MAKUSANYA and some of them are crazy!
Fuata nyayo za Prof Lumumba au VUSI Tembekwayo, hawa jamaa wanajua na wameweza ku balance knowledge waliokusanya miaka mingi. Japojuwa Prof Lumumba amechanganyikiwa kwa mbali kwa sababu ya kuwa na inf nyingi zilizopitiliza.