Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Omba Mungu yasikukuteMisiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Amina, mbele yetu nasi nyuma yake.Lala salama Prof James
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Omba Mungu yasikukute
Kwahio imeongezeka, pungua au ipo kama kawaida ? Huenda mwezangu una data za kutosha kwahio kabla sijakushangaa naomba unifahamishe, sababu mimi kwa akili ya haraka haraka hii miezi naona kama ni above average.Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.