TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
sijaona tanzia ya ajari mkuu kuwa mkweli mambo si mambo alafu inapiga wanazuoni sana sijajua shida nini
 
Huko dar siji hata mnirushie nauli.

Rest easy professor, madini yako yatabaki kutumika vizazi na vizazi😪
 
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.

Kwanini hamtaki watu wapost wakati waliotutoka ni watu maarufu kwenye kada zao??
 
Katika yote tusiruhusu uoga ututawale 💪💪💪
 
Back
Top Bottom