TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Koona inatumaliza kwa kweli na serikali yetu IPO kimya inaamini mbinu za kishirikina tu, pumzika kwa amani professor
 
Tuache HOFU, tuachape kazi kwa bidii tulijenge taifa letu zuri la Tanzania huku tukimtanguliza Mungu.
 
Kuna siku hata wewe yatakufika kwa familia ya kwenu hutatoa hizo kauli
Kunifika hilo ni lazima sina ubavu wa kulikwepa make ndiko tuelekeako, lkn siku ikifinika itakuwa kwa Sababu nyingine tu na sio hivi vijimafua!!!
 
Sasa vijana wa kati mbona wanaondoka hivi.
Tena wasomi.

Rest Easy son.
 
Hili dude lipo Dodoma lazima lifanye maajabu yake tusubiri tu.
 
Back
Top Bottom