Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mbona kama inaondoka na ma profesa tuu.Mwanazuoni nguli Profesa James Lwelamira amefariki dunia leo asubuhi ktk hospital ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.
Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.
Wee nyuma ya marehemu unafanya niniAmina, mbele yetu nasi nyuma yake.
Kwa hapa tz huwezii ilipaHivi gharama ya profesa mmoja ni tsh ngapi
Haya sasa
Ujinga acha wewe kijana, mie sina hata chembe!!!Acha ujinga we mtoto.
Dhambi za ukimya wao!sijaona tanzia ya ajari mkuu kuwa mkweli mambo si mambo alafu inapiga wanazuoni sana sijajua shida nini
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Na hivi Mzee alikuwa na changamoto ya sukari. Maana diet yake alikuwa anatoka nayo nyumbani kila asubuhi.
Bado Jiwe .Lala salama Prof James
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Unaweza tangulia wewe piaBado Jiwe .
Vaa barakoa, nawa mikono, epuka msongamano na piga nyungu japo dk 5 Mara 2 hivi kwa wiki[emoji24][emoji24][emoji24]Mbona tunakwisha namna hii hadi naanza kuogopa sasa.
Kuna siku hata wewe yatakufika kwa familia ya kwenu hutatoa hizo kauliMisiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Matumizi ya hovyo ya mitandaoMisiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.