TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Apumzike Kwa Amani.
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghosha.😢
 
Sitashangaa kusikia kuna watu wameshapatiwa chanjo ya Korona.
Si kwa ubishi huu
 
Jamiiforums from great thinkers to Matangazo ya vifo? au ndo proposal hii ya kupambana na corona?
Kati ya wewe na Prof nani great thinker tunapost watu maarufu ktk kada muhimu huyu alikuwa nguli wa statistics hapa chuoni,
 
Nguli na mbobezi wa takwimu Tanzania hakika Taifa limempoteza mtu mhimu mno katika kipindi hiki tunachoelekea sensa ya watu na Makazi 2022.
Tutaikumbuka kazi yake Daima.
Prof James nenda kwa Amani.
Tuliopitia ktk mikono yako tunajua kaz yako.
 
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Kwani tanzia inahusu kifo kinachotokana na ugonjwa pekee?
 
Dodoma mtakuwa na a new corona variant maana si kwa speed hiyo
 
sijaona tanzia ya ajari mkuu kuwa mkweli mambo si mambo alafu inapiga wanazuoni sana sijajua shida nini
Kuna wasomi wengi wana tabia ya kujari sana au niseme sio watu wa kupuuzia maswala mbali mbali .
Na hii inawafanya wengi wao waishi kwa hofu hasa ishu ya afya.
Kukuta nyumba imejaa vipimo vyote , pressure , kisukari n.k
Kila kukicha ni kumeza dawa hata kwa matatizo madogo hasa ya uchovu wa mwili.
 
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Omba Mungu yasikukute
Kwamba niombe Mungu nisijepata msiba inawezekana kweli hii? Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache mno, kila mtu mavumbini atarejea!!
 
Mbona wana kufa watu wanao tegemewa sana huu ugonjwa una siri gani
 
Back
Top Bottom