Profesa Janabi apuuzwe!

Ndio daktari wa Vasco Dagama, likimtokea msijekuanza kutafuta wachawi ; maana nyie washirikina mnalala na maiti!
Vasco Dagama siku hizi haonekani kama zamani, sijui Janabi kamuambia nini kuhusu maradhi yake!
Mkuu wala hatupoi, tunawaroga tu.

Ile dume ya tezi imemkamata shingo hachomoki. Anapenda kuishi kwenye mahandaki ya nishati mbolea🤣🤣
 
Mkuu hujanielewa, katika uongozi Si kila mtu huwa anaongea tu kwakuwa anajua kitu hatuendi hivyo...

MNH iko chini ya Wizara ya Afya na haiko nuu yako kuna hierarchy mbalimbali na Kuna wasemaji mbalimbali kwenye kila Wizara...

Unafikiri ingeruhusiwa kila mtu aseme kwakuwa anajua Ingekuwaje?..

Ingekuwa chaos kila mahali kwakuwa Daktari huyu kasema hivi yule kasema vile yule kazuia hivi na yule karuhusu hiki..

Na ndo maana tuna Chain of protocol,Mabalaza ya kitaaluma, Mabaraza ya kibingwa na mabaraza mengi tu..

Yeye ni msimamizi ndiyo wa MNH, Je uliwahi kuwasikia wasimamizi wengine wakifanya hivyo??

Je unamsikia Msimamizi wa JKCI wengine wakiongea kama alivyokuwa anaongea yeye baada ya kuondoka..?

Kuna tofaufi kubwa sana kati ya utaalamu na Siasa..

Wapo wanaofanya hizo kazi na wameajiriwa kwa kazi hizo kwanini asiache watu wafanye kazi zao..
Na yeye akabaki mshahuri kwa sababu Ya chief Consultants yake..?

Viongozi wanashindwa kumwambia kwa sababu wanaepusha majibizano Ya kitaaluma ila Niamini kuwa hawapendi kiherehere Chake..

Msemaji wa Magonjwa ya Moyo Taifa yupo,Msemaji wa Lishe yupo, msemaji wa Mgonjwa yasiyo ya kuambukiza yupo..

Ili mpasa yeye kama Proff Janabi astick kwenye JD (Job description) yake kama Mkurugenzi wa MNH..

Hayo mengine awaachie Wizara ya Afya na CMO (Chied Medical officer- Mganga mkuu Taifa)..
wataamua..

Narudia Tena Kama anaona hawafanyi kazi kama inavyostahili... kwenye Baraza la Madaktari Muhimbili wana Kiti pale, wizara ya Afya muhimbili wana kiti chao hakuna Barza ambalo muhimbili hawana kiti kwanni asitumie mabaraza hayo kurekebisha...
 
Uzuri siku hizi mambo mengi yapo Youtube.

Angalia hii video, anasema hili karibu na dakika ya 14, unaweza kuanzia dakika ya 13 upate kuingia kwenye comment kwa muktadha vizuri zaidi.

Jamani mtu akichokachoka, akikosa hamu ya kula au akikojoa mkojo wa povu tayari kashaingia kwenye chronic kidney disease?


View: https://www.youtube.com/live/L7LAYnDBtg4?si=cF84GTWd7UdH16z4
 
Wataalam wa afya wanaoweka dondoo mitandaoni wakizidi, mikanganyiko itakua mingi, hii ni mbaya.
 
Nashukuru sana kwa video.

Ukimsikiliza Prof Janabi kwa umakini anasema ukishaziona hizi dalili, basi ujue kuwa tayari umeshaingia kwenye wagonjwa wa figo.

Kazieleza dalili hizo zote. Na waka hajasema 'ukishaona dalili mojawapo kati ya hizo nyingi' basi tayari unakuwa mgonjwa.

Ukweli ni kuwa, ukishakuwa na dalili zote kwa pamoja, 99% tayari wewe ni mgonjwa wa figo. Siyo dalili moja ama mbili.
 
Hakuna popote aliposema dalili zote.

Ni muhimu sana kuwa clear kwenye mambo kama haya.

Huyu ananukuliwa sana, maneno yake yanaenda viral.
 
Mkuu, unajua kusoma kwa ufahamu au hiyo sehemu una tatizo nayo?

Hii direct quote ya Profesa Janabi uliiona au uliiruka?

Amesema.

""Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo"
Ingawa Kweli anatoa ushauri nasaha but he is an ALARMIST! The way he conveys his messages is very intimidating to his audiences!! Pengine kwavile ndio mganga wa Vasco Dagama ndio anajipa false confidence!
 
Mimi kwakweli sikubaliani na wewe.Sawa mtu ana jukumu na afya yake lakini atleast awe na basics za dos' and donts'.Kama hana uelewa mzuri wa mambo ya diet atajilia ovyo tu kwa minajili mizuri tu ya kutunza afya yake lakini kumbe anakosea.Kuna ubaya akitokea raia mwema mwenye weledi akamsaidia kwa kumpa elimu?
Hoja kwamba aandae kitini,sawa.Watu wetu unawajua kweli kuhusu culture ya kusoma!!?Na maandiko mengi tayari yapo lakini watu wana tabia ya kusoma?Tena pamoja na utu uzima wake prof anajitahidi sana na anafanya vizuri kutumia social media maana dunia ipo huko na wengi wapo huko.Sikuhizi hadi watu wa vijijini wapo socio media. Mimi bado nampongeza
 
Ingawa Kweli anatoa ushauri nasaha but he is an ALARMIST! The way he conveys his messages is very intimidating to his audiences!! Pengine kwavile ndio mganga wa Vasco Dagama ndio anajipa false confidence!
Nyie ni haters,haters hawataisha duniani lakini kamwe hawatazuia watu wema kutenda wema.
 
Huyo Tuli yuko wapi!! Wananchi hatumuoni.Awajibishwe aisee kumbe yupo na jamii inazidi kuwa na obesity na NCDz!!
Anyway,hata hivyo prof ni Mkurugenzi wa Muhimbili ,ni msemaji mkuu hivyo anaweza ku cut across...hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…