Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Makolo kmmk🤣🤣sitawasamehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitesa tu moyo na nafsi yako bure.Upo sahihi mkuu.
Kwa upande wangu kwakweli siwezi kumsamehe mtu aliyenikosea sana.
Kama ataweza kurejesha uharibifu aliousababisha kitu ambacho sio rahisi, hata msamaha wangu atausikia tu.
Na kama kukiwa na uwezekano wa kummudu nipo tayari kulipiza kisasi.
Safi sana mkuu. Mimi mpaka nilipize mwenyewe nihakikishe wameumiaMimi huwa siwalipizii Kisasi physically ila sijui kwanini huwa nikiwasemea kwa Mungu ndani ya muda wanaathirika sana.
Mkuu, simaanishi kumuweka moyoni,,, moyoni hakai na hasamehewi.Unajitesa tu moyo na nafsi yako bure.
Umesema vema hapo mwisho kuwa "kama kukiwa na uwezekano wa kummudu" upo tayari kulipiza kisasi. It means kama hummudu na hutaki kusamehe linabakia zigo linalokutesa mwenyewe wakati jamaa akiendelea kudunda.
Kwa ufupi huo msamaha wewe mtoaji ndiye unauhitaji zaidi kuliko huyo msamehewa. Janabi yupo sahihi.
Uko kama Mimi.mimi siwezi kumsamehe, mtu aliyenikosea , tena ukileta ujuaji nakua na roho mbaya zaidi na lazima nikupige tukio la dharau ambalo utalikumbuka milele ukinikwaza zaidi nawaza tofauti
Same to meMi sisamehi kabisaaa, bora nife kuliko kusamehe
Huna akiliProfesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.
Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Acha fix wewe mbuta bin chenguProfesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.
Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Huyo Prof ametoa ushauri mzuri sio tu wa kiafya bali pia ni onyo lililotolewa na Mungu katikaProfesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.
Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.