Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

Upo sahihi mkuu.
Kwa upande wangu kwakweli siwezi kumsamehe mtu aliyenikosea sana.

Kama ataweza kurejesha uharibifu aliousababisha kitu ambacho sio rahisi, hata msamaha wangu atausikia tu.

Na kama kukiwa na uwezekano wa kummudu nipo tayari kulipiza kisasi.
Unajitesa tu moyo na nafsi yako bure.

Umesema vema hapo mwisho kuwa "kama kukiwa na uwezekano wa kummudu" upo tayari kulipiza kisasi. It means kama hummudu na hutaki kusamehe linabakia zigo linalokutesa mwenyewe wakati jamaa akiendelea kudunda.

Kwa ufupi huo msamaha wewe mtoaji ndiye unauhitaji zaidi kuliko huyo msamehewa. Janabi yupo sahihi.
 
Mkuu, simaanishi kumuweka moyoni,,, moyoni hakai na hasamehewi.

Ndiyo, naweza nisimmudu kwasasa, lakini siku nikimmudu, naye atapata cha kusimulia.
Hata kama imepita miaka 10.
Uzuri watendewa hatusahau.

Kama ninaweza kumkacha ndugu aliyenikosea miaka 5 imepita sembuse mtu baki?

Mkuu, unafahamu vita ya warundi imetokana na nini?
 
mimi siwezi kumsamehe, mtu aliyenikosea , tena ukileta ujuaji nakua na roho mbaya zaidi na lazima nikupige tukio la dharau ambalo utalikumbuka milele ukinikwaza zaidi nawaza tofauti
Uko kama Mimi.
 
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.

Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Huna akili
 
Acha fix wewe mbuta bin chengu
 
Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani.

Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
Huyo Prof ametoa ushauri mzuri sio tu wa kiafya bali pia ni onyo lililotolewa na Mungu katika
Mathayo 6:14-15 SRUV
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Kwakuwa unapima kila baada ya miezi mitatu, yes, utaendelea kuwa salama. Lakini je siku ya mwisho utaepukaje hukumu ya Mungu?
 
Back
Top Bottom