Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu


Huyo Muheshmiwa ana hoja ila kuna kitu MUHIMU anakosa katika mafundisho yake.....
Mfano: Wote tunajua kuwa machungwa ni kati ya matunda mazuri na muhimu sana kuupatia mwili Vitamin C. Sasa kwa kauli yake alitakiwa apendekeze kuwa mtu asizidishe machungwa kadhaa kwa siku (kama anauwezo wa kuyapata kila siku)
hata hivyo watanzania walio wengi hata akila machungwa 10 kwa siku, Inaweza kuwa sio tatizo kwao kwani hawana uwezo wa kuyapata hivyo kila siku. Inaweza kuwa amekula hivyo mara tatu au pengine nne kwa mwezi kiasi ambacho ni cha kawaida kabisa....
Vyakula vyote ni muhimu kwa mwili ila vinatakiwa viliwe kwa Kiasi sasa yeye ajikite kueleza Kiasi kinachostahili kuliwa LAKINI PIA AZINGATIE KAZI WANAZOFANYA WATANZANIA.... sioni kama ni sawa kusema mtu ale milo miwili kwa siku........SIJUI kama huyu Muheshimiwa amewahi kulima (ambako ndipo ajira ya watanzania wengi ilipo kwani angejua kuwa, milo miwili haimfikishi mtu popote...) hapo sijataja wajenzi nk nk nk
 
Prof akili kama inaanza kuruka hiv... kama alihusika akatubu
 
Amewasemea wakaaji kwenye viyoyozi na viti vinazunguka, haya na sie wabeba zege, tofali, wakulima, wavuja jasho...tuke vitu gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…