Profesa Janabi’s Diet: Njia rahisi ya Kupungua na ukaona matokeo ndani ya mwezi mmoja tu

Profesa Janabi’s Diet: Njia rahisi ya Kupungua na ukaona matokeo ndani ya mwezi mmoja tu

Prof.Janabi na mabinti tena ni hatari anajulikana
 
Yupo sahihi kabisa Mimi ni mmoja wapo naishi kwa ulaji huo ambacho huwa naongezea ni viazi vitamu Mara kadhaa nakula

Ili usipatwe njaa huwa natafuna korosho au karanga

Juisi ya ukwaju na ubuyu wa unga

Chai yangu ni mdalasini na tangawizi nachemsha siku nyingine Natengeneza manjano na tangawizi
Mazoezi nnayofanya ni kutembea kwa wiki mara 3 mpaka 5 nusu saa mpaka lisaa

Nilibadili mfumo wa ulaji baada ya kupata gestational diabetes (sukari ya ujauzito) niltumia insulin Sana na high blood pressure kipind Cha ujauzito iliisha baada ya kujifungua iliisha kabisa ila nkaamua kubadilika kabisa na tofauti nimeiona

Anachoongea ni sahihi na ninakiishi mwili unahitaji kiwango kidogo sana sana Cha wanga

Wengi hushangaa why juice ya matunda ambayo ni natural pia haitakiwi??unakunywa kwa kiasi kidogo ili usiichoshe pancrease kuchakata hiyo sugar

(Everything in moderate)
 
Kwa hiy umeweza kupungua uzito?
Kwa kiasi gani labda?
 
Nimeanza mwaka jana mwezi wa 8 mwaka jana mpaka sasa nimepungua 11kgs from 80 kgs to 69kgs

Hongera, ongeza bidii.

Mimi nilipungua toka 70 hadi 56kg,
Nikabadilisha mazingira ya ofisi, zikaongezeka mwenzangu hadi 66kg,
Sasa naanza kuweka nia na kuanza kukata shauri nifike 54-55 naona nitafurahia zaidi binafsi.
 
Hakikisha unakuwa ndani na BMI inayotakiwa usipungue sana ukaflash minerals zote mwilini
BMI=weight/height in metres square
Recommended ni 20% mpaka 25% though Kuna literature nyingine zimeandika 19% mpaka 25%
Hakikisha unakuwa katika hii range

Uzito uendane na urefu

Kingine ni heri ukijitahidi ukishapungua kiasi usirudishe kilo ni Bora kilo zibaki hapo hapo kulko kuongeza
Njia ya kumaintain usifanye hii program Kama adhabu unatakiwa uwe normal usikae na njaa na cheating day ipo ambayo ni mara moja wiki hii husaidia kutamani vyakula vingine so unachagua siku unakula unachokipenda roho inatulia kesho unaendelea na utaratibu wako

Na jinsi unavoendelea unazoea hata izo cheating days unashangaa huzikumbuki inakua sehemu ya maisha yako
 
Sema yataka moyo hasa kuamua kufanya hivyo bila kuhimizwa na mtu yeyote Yule!

Yani mtu anatakiwa ajikane haswa!
Sure sio mchezo kwa kweli mwanzoni inakuwa Kama mateso ila with time unazoea na kikubwa ni Nia

Ila inasaidia sana sana mimi nimeteseka Sana so sitaman junk food hata kidogo
 
Whatever you eat you will die one day

So dont bother enjoy the moment you have tomorrow is there for those who are luckies
 
Aaah jamani hebu mtuache kwanza kwakweli, tutaonana ahera huko tukifa ila misosi hii kuicha ni ngumu,nitaendelea kula na kupiga tizi kama kawaida
 
Back
Top Bottom