Felician Modest
Member
- May 26, 2017
- 53
- 14
Kutamani mke wa mtu sio fresh hata kidogo
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Mhh mbaya hiyo...hakuna mke mbaya, mbaya kwako mzuri kwakeMi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Huyo wa sugu ndo ulimuona juzi au unamfahamu kabla. ...ebu jaribu kutembelea page yake insta umuone anavyo jichetua. ..Mi nadhani anajioni bonge la demu sijui kama anajifahamu.Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Huyo wa sugu ndo ulimuona juzi au unamfahamu kabla. ...ebu jaribu kutembelea page yake insta umuone anavyo jichetua. ..Mi nadhani anajioni bonge la demu sijui kama anajifahamu.
Kawaida hata mama Janet magufuli hanaga furaha akiwa na mme wake
Si bora wanagekuwa na umama yaan ni full Wamama ...Wanaume wa sasa, wasna umama kidogo!
Arage Jekundu.
Post sura ya mwanamke wako basiUmenena mwaya yani yule mke wa sugu mweh....sura ka jiwe la kusugulia miguu[emoji57] [emoji15]
Afadhali hata faiza alikua hajambo kidogo
Ukute na yeye ana sura baya halina kifani.mmmh wewe mwanamke wewe!ina maana yule hafai kuolewa?
ukute wewe mwenyewe hapo hujaolewa kutwa kuswampa kwenye kitchen party za wenzio