mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
keKwani mleta mada ni jinsia gani?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
keKwani mleta mada ni jinsia gani?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
et "mrembo kidogo" dem mzur kushinda ukoo web mzima!
Tabia ipi??
labda ya ufi.waji
Siri za familiaaaaa!![emoji443] [emoji30]Hayo mambo hayakuhusu ni siri ya familia.
Sent from my Z5 Premium using JamiiForums mobile app
Wanaume wa sasa, wasna umama kidogo!wanaume wa dar
hongera sana mkuu,kweli watu wanabadilikaWala usijali Mkuu leo ' simtukani ' Mtu kwani nimeanza ' uchokozi ' mwenyewe hivyo sasa nami ni zamu yangu ' Kuyakoga ' na kweli ' nayakoga ' kutoka kwa wana CHADEMA kwa ' dongo ' langu la ' Kimahesabu ' kabisa nililowapiga. Huwa napenda mno kuona ' Jamvi ' linachangamka hivi na Watu ' tunacharurana ' kwani ' inachangamsha ' na ' kuburudisha ' pia. Katika ' uzi ' huu nimeruhusu ' Madongo ' dhidi yangu japo nina uhakika wa 100% kuwa ' dongo ' langu limewaingia vilivyo wana ' Kugoma ' wana ' Fujo ' na wana ' Kususa '.
....jirani,omba radhi japo kimoyomoyoTabia ipi??
labda ya ufi.waji
Na Mkapa anaporudia kukumbushia kuwa waTz wengi ni wapumbavu bado tunamshangaa!
....jirani,omba radhi japo kimoyomoyo
...afu achana na hii mada uloleta;
...kiroho safi!
.peace!
Wengine wana wivu hawa. Walitaka kuolewa wao na Profesa Jay.Hayo mambo hayakuhusu ni siri ya familia.
Sent from my Z5 Premium using JamiiForums mobile app