Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Hongera prof kubaliki maisha yako, Mwenyezi awe nawe.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
mmmh wewe mwanamke wewe!ina maana yule hafai kuolewa?

ukute wewe mwenyewe hapo hujaolewa kutwa kuswampa kwenye kitchen party za wenzio


Na hapa niko naenda kitchenpatini nakwambia
 
Wajanja wa mjini wanasema eti mchepuko wake alikuwepo pale na hakupendezwa na kitendo chake kufika pale. Alituma mashosti wake wamfukuze ila jamaa alidinda na kubaki mpaka mwisho.
Nadhani huo ndiyo ujumbe wa mtoa sred alitaka kuutoa. Huwa nafurahia JF maana mitusi huanza na baadaye ukweli unajitokeza mwisho au siyo GENTAMYCINE
 
Kutamani mke wa mtu sio fresh hata kidogo

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
rubii yule dada anajua kupika hatariii mwachee tu sugu atulie pale....
 
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
yaani sikufuru mheshiwa anachagua moja kati ya mbili,,faiza mzuri lakini akili zilimepelea ,,huyu mhuu labda kwingine yuko vizuri maana sio mpiga picha za chupi mitandaoni
 
eeeh maaana hakuna namna! wewe tulikuonja mtandao pendwa tukakuacha uende!
si unapenda kitonga


Ulionja tuu?!
Naona unaanza kutoa siri za mke/hawala aliyemkimbia mumewe halali kisa kutopenda mtandao na kwenda kumtunuku mhe aupakue kila siku...enhe leta siri nyingine
 
yaani sikufuru mheshiwa anachagua moja kati ya mbili,,faiza mzuri lakini akili zilimepelea ,,huyu mhuu labda kwingine yuko vizuri maana sio mpiga picha za chupi mitandaoni


Hayaaaa
 
tupe kapicha

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Ulionja tuu?!
Naona unaanza kutoa siri za mke/hawala aliyemkimbia mumewe halali kisa kutopenda mtandao na kwenda kumtunuku mhe aupakue kila siku...enhe leta siri nyingine
Utaumia sana ila ndo ishakuwa no matter what ashakuwa mama sugu! Period....!
 
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!

Watu wanachukua wanavoweza kuvipata, namtaka jokate, ila kwa vile ni ngumu kumpata MTU inabidi umchukue ebitoke, maana hakuna namna rubii
 
Kazi kweli!!! Unahariri harusi za watu kwa sauti!
 
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
vipi wewe kwenye harusi yako ulivyokuwa unaolewa hukulazimisha furaha????
 
Back
Top Bottom