Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Kwani mleta mada ni jinsia gani?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Inawezeka ww ni mchawi tena unayepaa he uliingia moyoni mwake? Umeona hayo sjui kwann watanzania wengine huwa majinga kama ulivyo ww ulitaka see zuzu wa kuchekacheka hovyo au skuchekee ww,pumbavu kabisa ww nyie ndo wavunja Miji ya watu paka shume.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Mkuu hii ndoa ni kutimiza agano tu watu wamshagegedanaaaa mpaka wamechokana sasa ndo wameamua kuhalalisha furaha itokee wapi?

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye habari hakunogi bila pc

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke amefanya send off jumamosi, jumapili kafanya harusi, plus anaonekana mjamzito.

Kiufupi walimu overdose sherehe,so alichoka kupita maelezo, sidhani kama unawezs kutabasamu ukiwa umechoka kupita kiasi.

Swali ni kwa nini waliunganisha send off na harusi? What the hurry?

"the highest risk should give maximum profit"
 
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Ukitaka kupata jibu nenda animoon na pr j atakupa jibu.

Sent from my Infinix-X600 using JamiiForums mobile app
 
Pole huyo sio kiruka njia wa kucheka ovyo ovyo kama wewe umezoea micharuko ya uswahili sio kwa Grace jay .Pia usiingize siasa kwenye sherehe za watu .Akili yako imeshikana na nani yako.

Sent from my GT-I8262 using JamiiForums mobile app
 
GENTAMYCINE......nilitegemea ungetowa hongera kwa wabunge wa JMT kuungana pamoja na kushiriki ktk harusi.Tunapenda saana tukiwaona waki SOCIALIZE pamoja kwa kila jambo.Mimi niwaambie hongereni na pia Mh.Ridhwan kwa kutuma ujumbe wa kutokuhdhuria...yote hii inaonesha kuna upendo wa dhati.
 
Mtafute prof Jay umuulize. Sasa unatuuliza sisi ili tukusaidiaje? Zumbukuku kabisam. Manamke mengine bhana.
 
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Nilijua mimi peke yangu ndie niliyeliona hilo.
Alikuwa yuko siriaz aiseeh mh!yani naona kama Prof J asingechangamka harusi ingepoa kama mlenda wa kusaga.
 
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!

Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia eeeeh [emoji442][emoji443][emoji443][emoji443][emoji456][emoji447][emoji448][emoji441][emoji441]. Huwez jua rais wa Mbeya kampendea nini bibie Happy. Mapenzi ni zaidi ya uzuri wa sura [emoji12]
 
5f6f0b409523ca427585f03321a4ec4d.jpg

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom