Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Yaani wewe umekuwa unamfahamu kwa muda gani huyo mke wa mtu mpaka ujue mwonekano wake ni wa kukosa furaha? Kwa kuunda uongo hujambo

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa huu Uzi utakuwa mbaya mitusi itaanza muda si mrefu.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app

Wala usijali Mkuu leo ' simtukani ' Mtu kwani nimeanza ' uchokozi ' mwenyewe hivyo sasa nami ni zamu yangu ' Kuyakoga ' na kweli ' nayakoga ' kutoka kwa wana CHADEMA kwa ' dongo ' langu la ' Kimahesabu ' kabisa nililowapiga. Huwa napenda mno kuona ' Jamvi ' linachangamka hivi na Watu ' tunacharurana ' kwani ' inachangamsha ' na ' kuburudisha ' pia. Katika ' uzi ' huu nimeruhusu ' Madongo ' dhidi yangu japo nina uhakika wa 100% kuwa ' dongo ' langu limewaingia vilivyo wana ' Kugoma ' wana ' Fujo ' na wana ' Kususa '.
 
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Duuuuh kwahiyo tutafute wazuri wa kupigia picha

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Kumbeee...basi sio kosa lake aiseeh ilikuwa ni lazima awe hivyo hakukuwa na namna.yani ulale saa nane za usiku then kukipambazuka uanze tena hekaheka za harusi!!lazima mtu achoke aseeh.
Ila dada ni mrembo bhana tuache matani.
Kama anakibendi kweli!amejitahidi sana aiseeh

Na una uhakika gani labda kama hiyo ' Mimba ' ni ya Profesa Jay na pengine labda ' Masela ' wa Town hawajamsaidia?
 
Umenena mwaya yani yule mke wa sugu mweh....sura ka jiwe la kusugulia miguu[emoji57] [emoji15]
Afadhali hata faiza alikua hajambo kidogo
Mtatutoa roho wadada sasa tuoe wa namna gani

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
siri za Ngoswe waachie wamalizane wao
 
Hiyo taarifa ukishaipata utaitumia kupata hela siku ya leo? Jifunze kukua tafuta taarifa zenye manufaa kwako

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Alimuona yule babu mwenye nywele nyeupe.. kachokaaaa babu wa watu. Nahisi huyu mke kila alipokumbuka ufisadi na usanii wa huyu babu, akawa anakosa raha.
 
ila wakosa ajira ni wengi eti cjapata muda wakukaa nakuangalia vizuri kwani ni ndugu yako yule
Prof Jay ni mbunge wetu kule Mikumi. Ni haki yetu kujua kwa nini shemeji yetu hakuwa na furaha ile siku.
 
Prof Jay ni mbunge wetu kule Mikumi. Ni haki yetu kujua kwa nini shemeji yetu hakuwa na furaha ile siku.
Ungesubiri amalize fungate uende kumuuliza home kwake au ofisi yake ya mbunge.
Wewe unashangaa mke wa Jay kutocheka wala kutabasamu,mbona huulizi wanaolia kwenye harusi zao?
Hatufanani binadamu hata kwa maumbile yetu mwilini!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Alimuona yule babu mwenye nywele nyeupe.. kachokaaaa babu wa watu. Nahisi huyu mke kila alipokumbuka ufisadi na usanii wa huyu babu, akawa anakosa raha.

Ha ha ha a jamani
 
Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.

Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?

Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.

Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Nature ya MTU, mwonekano unaweza Dhani kwamba amekasirika kumbe anatabasamu ndo sura yake
 
Vipi mkeo mbona alikuwa analia siku ya harusi yake?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!
Unajuwa wanawake wenye sura za baba zao ndo watamu sana, wanatabia nzuri sana Fanya research utagundua nachokisema. Kwenye sura za mama siyo wazuri kitandani, pia tabia zao siyo nzuri.
 
Mwanamke amefanya send off jumamosi, jumapili kafanya harusi, plus anaonekana mjamzito.

Kiufupi walimu overdose sherehe,so alichoka kupita maelezo, sidhani kama unawezs kutabasamu ukiwa umechoka kupita kiasi.

Swali ni kwa nini waliunganisha send off na harusi? What the hurry?

"the highest risk should give maximum profit"
Wewe una macho . . , na unayatumia vizuri . . na una akili pia . . hebu MPE mimba Genta . . , halafu muoe akiwa na ujauzito wa miezi 5 halafu tuone kama atachekacheka . . !

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Unajuwa wanawake wenye sura za baba zao ndo watamu sana, wanatabia nzuri sana Fanya research utagundua nachokisema. Kwenye sura za mama siyo wazuri kitandani, pia tabia zao siyo nzuri.

90% si kweli
 
Back
Top Bottom