MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
- Thread starter
-
- #21
Prof Jay kasanda hana jipya wimbo wa mwisho mkali ni Hapo vipi? Hapo sawa 2009 baaaasiiii nyingine zote wanampa promo tu.
Huyu jamaa prof j simpendi kabisa,,,,,,nyimbo zake zinaboa.........hata loon alivyokuja bongo alimponda sana.....
Sugu ndo mwenyewe
Professor yupo juu!!! Acheni wivu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtakufa na wivu! Mbona mashairi yake yametulia, na jamaa anasauti bomba kabisa, tena kamiligado!!!
Inabidi wasanii wa ki-bongo wabadilike kimtazamo,kuandikiwa mashairi sio dhambi wala kujishusha...JAY wa leo sio yule wa 'Bongo daslam' .
Labda Mtu mzima Jay akanunue ama akakope Mashairi kutoka kwa Kijana Roma Mkatoliki...
akiongea anabana pua mno..kama vile anaigiza sauti ya mtu mwingine..mwambie aongee kama yeye..na ajue umri ndio huo..umeshasonga aingie kwenye harakati sasa ya kutoa vijana wapya..na aache ubinafsi, toka aanze gemu hana history ya kuinua wasanii wadogo.
Mtakufa na wivu! Mbona mashairi yake yametulia, na jamaa anasauti bomba kabisa, tena kamiligado!!!
Jay ndio anapotea kabisa ,nilishaanzisha thread kuhusu nyimbo yake mpya ya aliyoitoa mwaka huu "Kama ipo ..." Ila wadau wakamtetea sana.Ukweli ni kwamba Prof kwa sasa hana jipya na kwa wanaomfuatilia sana kwa kakaribu watakubaliana nami kuwa huyu jamaa kalewa sifa na amejisahau sana.Ila tumwombee asijeakaishia kuwa kama Mr. Nice. Yupo mwingine anayejisahau na kujiona yeye ni wa kimataifa zaidi AY,tatizo la AY anapata nafasi ya kufanya ft na wasanii wa nje ila anashindwa kutumia hiyo nafasi vyema.Ukisikiliza hizo nyimbo alizofanya ft kama vile anawaiga wao naye aonekane wa huko.Kwenye sanaa hakuna kitu cha msingi kama kuheshimu ID yako.Faly Ipupa amefanya ft na Olivia na amepata heshima coz ameweza kulinda ID yake (style) yake.
prof uko juuuuuuuuuuuuuu,usisikilize hawa watu wa humu wivu tu umewajaa,kama wewe uko creative kushinda jay kwa nini usiingie studio tukakusikia?
Af huo wimbo mi sichoki kabisa kuusikiliza!? Upande wangu huo wimbo ni bora kuliko nyimbo zake zote za mapenzi alizowahi kuandika ukiacha ule wa 'Niamini' akiwa na HBC
Wimbo umetulia sana .. keep up J.
Naupenda..
Imagine underground wa hapo mtaani kwenu ndo kapeleka huo wimbo redioni. Ni kapuni moja kwa moja
that's your opinion..
lakini huu wimbo umetulia sana.
na nimeupenda kupita kiasi...
My opinion yeah, but the majority here agree. But then we can agree to disagree, no hard feelings!