Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Covidol haikusaidia mumponya Meko
 
F23626F6-7F22-4A6D-B93A-64824DF9AF18.jpeg

Angalia nyuma ya Dr Kitila, unamuona Dr Kabudi mwenye 😷 anaongea na Ndalichako.

Ndio ujue kwa unafiki tuu watanzania tumeshindikana.
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe hii safari ndio alienda na Mke wa Mweusi wa 3??
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Heri ameondolewa hiibwizara maana he was a total disgrace kwakweli na akakutana na kinjekitile basi akaona ndio fursa ya kumdanganya zaidi.
 
Back
Top Bottom