Covidol haikusaidia mumponya MekoWaziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.
Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Sawa!Palama gamba kabudi ni mzalendo wa tatu baada ya Magufuli.
Wa kwanza ni mwl NYERERE.
Kumbe hii safari ndio alienda na Mke wa Mweusi wa 3??Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.
Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyo jamaa nafikiri anayemzidi humo Bungeni kwa unafiki ni Askofu Rashid tu ..................!!View attachment 1739377
Angalia nyuma ya Dr Kitila, unamuona Dr Kabudi mwenye 😷 anaongea na Ndalichako.
Ndio ujue kwa unafiki tuu watanzania tumeshindikana.
Heri ameondolewa hiibwizara maana he was a total disgrace kwakweli na akakutana na kinjekitile basi akaona ndio fursa ya kumdanganya zaidi.Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.