Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

Prof aliyeokotwa Jalalani siyo wa kumuamini sana,

"Unaweza kudanganya wengi lakini huwezi kudanganya watu wote kwa wakati mmoja"
 
Leo hii Dr. Vincent Biruta anauthibitishua ulimwengu namna Prof. Kabudi alivyo muongo muongo na mzushi kama sisi wengine tunavyomjua.

Prof. Kabudi alidai kuwa mkutano uliofanyika juzi hauihusu Tanzania bali ni wa northern corridor.

Yeye waziri wa mambo ya nje wa Rwanda amesema kuwa Tanzania yenyewe iliomba kutokushiriki mkutano wa wakuu wa EAC huku akidai kuwa Burundi nayo ilisema kuwa ina uchaguzi mkuu hivyo haita shiriki mkutano huo.

Prof. acha kuwa muongo. Mtu mzima tena waziri na unadai kuwa umeokoka, uongo haukusaidii.
View attachment 1450945

Tuwekee chanzo kutoka kwa hudo waziri. Japo sifa mojawapo ya wanasiasa wengi wao... Ni kutokuwa wakweli...
 
Pale unapojipa majukumu makubwa kabisa na hulipwi chochote!

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ndiyo uzalendo uliotukuka. Kuweka maslahi ya taifa mbele bila kutanguliza tumbo.

Sote tungekuwa hivi taifa lingekuwa mbali sana wala Corona isingeingia nchini. Hata kama ingeingia walahi isingesambaa.
 
Leo hii Dr. Vincent Biruta anauthibitishua ulimwengu namna Prof. Kabudi alivyo muongo muongo na mzushi kama sisi wengine tunavyomjua.

Prof. Kabudi alidai kuwa mkutano uliofanyika juzi hauihusu Tanzania bali ni wa northern corridor.

Yeye Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda amesema kuwa Tanzania yenyewe iliomba kutokushiriki mkutano wa wakuu wa EAC huku akidai kuwa Burundi nayo ilisema kuwa ina Uchaguzi Mkuu hivyo haitashiriki mkutano huo.

Prof. acha kuwa muongo. Mtu mzima tena waziri na unadai kuwa umeokoka, uongo haukusaidii.

View attachment 1450945
Kwa nini usiseme Huyo waziri ndo aache uongo?
 
Kwa walio okotwa jalalani huu ni ubeberu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.

Sasa ni kitu gani alichoongopa?
Ndiyo yeye amekataa kwa niaba ya watanzania kushiriki katika mkutano huo. Sasa tatizo ni nini? Hatutaki watatulazimisha?

Kijana usipende kudakia dakia mambo ambayo huyajui kama mashoga wa kisutu. Kabla huja andika upuuzi wako huu jaribu kwanza kuuliza kwanini watanzania au serikali ya Tanzania haiko sharp sana na huo mkutano wa EAC. Waulize wahenga wakufumbue macho kuhusu kuvunjika kwa EAC.

Umejiuliza kwanini Rais Magufuli wakati wa kupokea Dreamliner yetu ya pili alimpa Pilot wetu aliyeiokoa ndege moja ya VC 10 isitaifishwe na wakenya TZs milion 10?
Rais alifanya hivyo kwa kitendo chake cha ushujaa alichokifanya. Kijana soma history.

Baada ya Mzee Jomo Kenyatta kuaga dunia chini ya Rais Arap Moi wakenya walibadilika ghafla na kutuona sisi kama ni maadui zao. Hii chuki walikuwa wamepandikizwa na wafadhili wao; Waingereza, Wajerumani, waholanzi na waamerika kwa sababu ya mfumo wetu wa ujamaa wakati ule.

Ndugu zetu walio kuwa wanafanya kazi kwenye hiyo jumuia ya Afrika Mashariki Mombasa wakenya waliwa damp mpakani bila vitu vyao, masikini! Najua wewe ungefanyiwa hivyo ungewapa hata back yako wakaitia vidole. Wewe ni nyang'au mkubwa sana!

Kwa msimamo huu generation ambayo tumelelewa na Mwalim Nyerere hatuta kubali kuingia makubaliano yoyote ya EAC tena mpaka tumeona wakenya na majirani zetu wengine wako kweli serious na hii issue. Vinginevyo hatutakuwa tunamtendea haki Mwasisi wa Taifa letu tukufu la Tanzania kwa shida alizozipata na hao makachero mpaka zikampelekea kuyaacha madaraka kwa hiari yake mwenyewe.

Sisi tukiondoka kama nyie mtaamua kuiuza nchi yenu, fanyeni hivyo. Lakini sio katika uhai wetu. Tutailinda nchi yetu kwa nguvu zote.

Namshukuru sana Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutotia sain faster faster wa mkataba wa kufufua EAC.
Katika maisha yangu mpaka sasa sijawahi shuhudia jinsi binadam wanavyo wafanyia binadam wenzao unyama kama wakenya walivyo tufanyia sisi kwenye hili sakata la EAC.

Tuendelee tu hivi hivi na ujirani mwema kwa jinsi itakavyo bidi, lakini kujiingizia tena kwenye mikataba isiyo na uhakika vizazi vya Mwalim Nyerere tunasema No! Nasema tena No! Na tena No! No! No!

We nawe unaongea mashudu tu. Ndivyo alivyokutuma bwana andunje wa huko mjengoni?
 
Usitekemee jipya kutoka kwa Wa'jalalani Fc.

Sifa ya kwanza ili uwe mwanachama wa CCM ni kuwa na sifa ya uongo uongo na uzushi.

Kwahiyo tusitarajie maajabu kutoka kwa hawa viongozi wa CCM laana tullay.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom