The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Naona anataka tudharaulike kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma LeprofeseriHuyu naye amekuwa moja wa maprofesa wa ovyo akiungana na Lipumba na Kitila Mkumbo hovyo kabisa
Kimataifa ushenzi na mauchafu yanayoenda kinyume na maadili ndo vitu vina-trend!Naona anataka tudharaulike kimataifa
Atawaambia nimekuja kuupigia debe USHOGA.Ujinga mtupu,"eti nakupenda we we na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini?
Wapuuzi sanaAtawaambia nimekuja kuupigia debe USHOGA.
Jibu rahisi tu.
Kama ndio nyimbo wanataka ziende duniani tumekwisha.
Inapelekwa ulaya hiyoView attachment 3241620
Hii ina views trillion 30 🤣 kaangalieni mbubujikwe na michozi 😄
singeli inaimba imba ngono na kwampalangempalange, au na wewe huwa unaingiliwa kinyume na maumbile?Hicho unachoita nusu uchi karibu makabila yote tanzania ndio uvaaji wao kwenye nyimbo za asili.View attachment 3246506
Akisemacho mtu ndicho kimeujaza mayo wake soma mathayo 12:34 kwa hiyo kwa huo mstari wenu nimeshakutambua mkuu .singeli inaimba imba ngono na kwampalangempalange, au na wewe huwa unaingiliwa kinyume na maumbile?
ukiangalia hoja pale mwanzo, tumesema singeli inahamasisha ngono na usodoma, na wewe unapenda singeli, ilikuwa halali kukuuliza kama umeshahama kundi. kwamba kuna mtu anataja hata mathayo halafu anashadadia singeli? acheni unafiki.Akisemacho mtu ndicho kimeujaza mayo wake soma mathayo 12:34 kwa hiyo kwa huo mstari wenu nimeshakutambua mkuu .
Wewe ni kilaza wapi nimesema napend singeli? Tafuta pesa utatuliza mihemko .ukiangalia hoja pale mwanzo, tumesema singeli inahamasisha ngono na usodoma, na wewe unapenda singeli, ilikuwa halali kukuuliza kama umeshahama kundi. kwamba kuna mtu anataja hata mathayo halafu anashadadia singeli? acheni unafiki.
pesa ninazo za kutosha sana bro nashukuru Mungu kwa hilo. turudi kwenye mada naona nimeshakuweka sawa.Wewe ni kilaza wapi nimesema napend singeli? Tafuta pesa utatuliza mihemko .