Profesa Kabudi atangaza kusambaza Singeli Dunia Nzima. Atatumia njia gani? Anajua mwenyewe

Profesa Kabudi atangaza kusambaza Singeli Dunia Nzima. Atatumia njia gani? Anajua mwenyewe

hapo ndio utaona umakini wa waziri.., ni mtu makini haijawahi kushudiwa ndugu kikubwa wewe kaa mkao wa kula
 
Ujinga mtupu,"eti nakupenda we we na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini?
Atawaambia nimekuja kuupigia debe USHOGA.
Jibu rahisi tu.
Kama ndio nyimbo wanataka ziende duniani tumekwisha.
 
Mimi huwa sizipendi singeli.Dunia huwa inasikiliza melody kali kama hizi zinazoeleweka.

Nagenda Daressalaama nashangayo amajungu(nimekutako majungu)
Orugambo nibatuma
Nagenda Daressalaama nashangayo amajungu (nimekutako majungu)
Orugambo nibatuma

Mbali nkulaba kodo
Mbali ndikyuga kodo
Mbali nkulaba kodo
Mbali ndikyuga kodo

Wanakodoa kodo
Macho kodo
Wanakodoa kodo
 
Usiku huu umeme ulikatika mtaan kwetu pakawa giza bwana si nikaon frusa nikatoka nje uchi kukojoa hile na maliza tu kukojoa umeme huo hikabid nikimbie iv navyo kwambia saiz uko nje wanasema wameona mchawi
 
Hii ina views trillion 30 🤣 kaangalieni mbubujikwe na michozi 😄
 
1. Binafsi sijamsikia, ila nimeona clip ya mdada yule anayepinga mapunga, anasema hivyo.
2. kama ni kweli, ni muislam gani au mkristo gani, anasapoti singeli?
3. tumeshaamua kukabidhi hii nchi kwa shetani, mampalange,vigodoro, kuvaa vibaya, vijora na ngono?
4. Rais anasemaje kama msemaji wa nchi?
5. huyo waziri tangu lini amekuwa msemaji wa watanzania kuwaamulia kitu hicho?
6. amefanya uchunguzi lini kuona watanzania hicho ndicho anachotaka?
7. au kwa sababu yeye anependa vigodogo, maneno machafu ya ngonongono anafikiri kila mtu anataka?
 
Hicho unachoita nusu uchi karibu makabila yote tanzania ndio uvaaji wao kwenye nyimbo za asili.
Screenshot_2025-02-23_152639.jpg
 
singeli inaimba imba ngono na kwampalangempalange, au na wewe huwa unaingiliwa kinyume na maumbile?
Akisemacho mtu ndicho kimeujaza mayo wake soma mathayo 12:34 kwa hiyo kwa huo mstari wenu nimeshakutambua mkuu .
 
Akisemacho mtu ndicho kimeujaza mayo wake soma mathayo 12:34 kwa hiyo kwa huo mstari wenu nimeshakutambua mkuu .
ukiangalia hoja pale mwanzo, tumesema singeli inahamasisha ngono na usodoma, na wewe unapenda singeli, ilikuwa halali kukuuliza kama umeshahama kundi. kwamba kuna mtu anataja hata mathayo halafu anashadadia singeli? acheni unafiki.
 
Wewe ni kilaza wapi nimesema napend singeli? Tafuta pesa utatuliza mihemko .
 
Kuna mwanafalsafa mmoja alisema:
"As you get older, it becomes harder to learn new things, you many sound stupid as time goes".
 
Back
Top Bottom