Profesa Kabudi atangaza kusambaza Singeli Dunia Nzima. Atatumia njia gani? Anajua mwenyewe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania.

Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na wafanyakazi mbalimbali wa taasisi hiyo.
Ameshindwa kupeleka maji Kilosa anatafika huko duniani?
Hiyo singeli watoto wake wanacheza?
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania.

Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na wafanyakazi mbalimbali wa taasisi hiyo.

My take:

Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Profesa Kabudi, ambaye kumbukumbu zinaonyesha kwamba hajawahi kucheza singeli mahali popote kwao Morogoro wala Dar es Salaam, Ametangaza kuipeleka Singeli (Muziki wa Wasela) Duniani kote.

Bali hakusema mbinu ambayo atatumia kusambaza muziki huo wa Uswahili na usio na maadili ili ukubalike Duniani, ambapo nyimbo yake Maarufu inaitwa "Hainaga Ushemeji"

Zaidi Mh Kabudi huyu hapa

na Rais amemwacha tu hapo, huyu wa kutumbua kabisa.
 
Ni mwaka wa uchaguzi hakuna kituko tutaacha kuoneshwa
 
pesa ninazo za kutosha sana bro nashukuru Mungu kwa hilo. turudi kwenye mada naona nimeshakuweka sawa.
Unawaza ujinga mda wote acha ushamba huo , weka mada wakuchangia tuchangie matusi yanakuonyesha ni jinsi gani usivyojitambua sawaaa?
 
Tanzania haina iconic music unaoitambulisha kimataifa kwenye upande wa sanaa.

Arabs wote wana Aina yao ya music.
Spanish pia Wana aina yao ya music.
DRC Wana lingala yao.
Nigerians wana Music wao.
SA wana kwaito na mapiano sijui.

Tanzania tunadandiadandia tu hatueleweki.
pendekezo lako ni nini? tuwe na muziki gani? huu wa singeli wa kukalia chupa? shetwan!
 
Unawaza ujinga mda wote acha ushamba huo , weka mada wakuchangia tuchangie matusi yanakuonyesha ni jinsi gani usivyojitambua sawaaa?
wenye akili washachangia ndugu, umebaki wewe tu kuongea yasiyoeleweka.
 
Wewe ni kilaza comment yako moja ya kuniita sijui mpalange imeonyesha ni jinsi gani akili yako inavyowaza ujinga jiheshimu bro / sister.
 
niliona unatetea singeli, nikakuuliza kama na wewe ndio wale wanaoingiliwa kinyume na maumbile jambo lilanohamasishwa sana na singeli? kosa langu liko wapo hapo sasa wakati uteteaji wako ndio umekutambulisha wewe mtu wa aina gani? hivi mwanaume halisi unaweza kutetea singeli? hujaona hata wanaume waimba singeli wamejichubua?
 
Nimesema ngoma nyingi za ki Africa watu wanacheza nusu uchi , wapi nimetetea singeli kwanz nazijua wapi hizo singeli? , kwa point uliyosema wanacheza nusu uchi tu , nikaweka na hiyo picha , kosa langu lipo wapi hapo?
Screenshot_2025-02-23_152639.jpg
 
Proffessors:- learn more and more about less and less till they , practically, know everything about nothing.
 
Back
Top Bottom