Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ameshindwa kupeleka maji Kilosa anatafika huko duniani?Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania.
Kabudi alitoa kauli hiyo leo alipotembelea Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo alipokelewa na wafanyakazi mbalimbali wa taasisi hiyo.
Hiyo singeli watoto wake wanacheza?