Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa. Jean Yves Le Drian

IMG_20210219_150204_225.jpg
IMG_20210219_150201_428.jpg
 
Atakuwa amekwenda kuweka order ya mabomu,helicopter na mibunduki ya kupambana na wale jamaa wa Msumbiji + kijichanja ili aendelee kutembea bila bakora kuwatoa kafara wadanganyika
 
Asemwe na nani huyo mzee wa kujipendekeza kwa jiwe? Kama China mwenyewe anaogopa kuwekeza Tz ndio itakuwa hao wafaransa?
Masuala ya uwekezaji yametoka wapi, mmepaniki kumuona walahi, uwekezaji? Nani kakwambia kafuata masuala ya uwekezaji, wachawi roho zinawauma kumuona jamaa anatembea.
 
Asemwe na nani huyo mzee wa kujipendekeza kwa jiwe? Kama China mwenyewe anaogopa kuwekeza Tz ndio itakuwa hao wafaransa?
Unataka ajipendekeze kwako? acha hizo Jiwe kampa maisha lazima amuangalie tofauti na hili ni kawaida
 
Back
Top Bottom