Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

Masuala ya uwekezaji yametoka wapi, mmepaniki kumuona walahi, uwekezaji? Nani kakwambia kafuata masuala ya uwekezaji, wachawi roho zinawauma kumuona jamaa anatembea.
Hii ni hatari
 
Masuala ya uwekezaji yametoka wapi, mmepaniki kumuona walahi, uwekezaji? Nani kakwambia kafuata masuala ya uwekezaji, wachawi roho zinawauma kumuona jamaa anatembea.

Kwanza hilo suala kuwa anaumwa ndio nasikia kwako. Yaani nipanick kwa kuliona hilo zee boya, labda kama hujui maana ya kupanick.
 
Paris, 18 Feb. 2021

Meeting between Jean-Yves Le Drian and his counterpart Palamagamba Kabudi


Jean-Yves le Drian, Minister for Europe and Foreign Affairs, met today with John Kabudi, Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation of Tanzania, who was visiting Paris.

This visit is an endorsement of the high-quality bilateral relationship between France and Tanzania, reflected by increased commitment to the country, the intensification of our exchanges with respect to academic and agroecological cooperation, and our trade and economic ties.

During this meeting, the minister underscored the importance of Tanzania’s role in East Africa, notably with respect to regional integration and the fight against terrorism.

Source : Tanzania – Meeting between Jean-Yves Le Drian and his counterpart (Paris, 18 Feb. 2021)

........................................

19 February 2021
Paris, Ufaransa

Prof. Palamagamba Kabudi - Ufaransa yaonesha nia ya kukarabati jengo la pili la uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, Mkopo kwa Afya na miundo mbinu.


Ufaransa kuisaidia kukarabati jengo la uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam Terminal II Julius Nyerere International Airport


Ufaransa pia imeombwa na Tanzania msaada wa Euro milioni 718 kama mkopo wa kusaidia mipango yake ya maendeleo ktk Afya, miundo-mbinu n.k

Source : ITV Tanzania
 
Kwanza hilo suala kuwa anaumwa ndio nasikia kwako. Yaani nipanick kwa kuliona hilo zee boya, labda kama hujui maana ya kupanick.
Eti mzee boya, wakati wewe ni boya zaidi yake, upo tu nyuma ya keyboard spewing hate to a successfully individual whom you're not even worth tying his shoelaces. Get a life nyumbu.
 
Eti mzee boya, wakati wewe ni boya zaidi yake, upo tu nyuma ya keyboard spewing hate to a successfully individual whom you're not even worth tying his shoelaces. Get a life nyumbu

Hilo zee liwe boya mara 2, zee liko miaka ya kustaafu linajikomba kama ndio linaanza maisha. Mimi sina kitu lakini sijikombi kwa mwanaume mwenzangu.
 
16 February 2021
Dodoma, Tanzania

USHAWISHI WA TANZANIA BADO NI IMARA KIKANDA NA KIMATAIFA​


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge amaeleza kuwa nguvu ya ushawishi wa Tanzania katika majukwaa ya kikanda na kimataifa bado upo imara, licha ya Tanzania kutoa mchango mkubwa katika ukombozi wa Bara la Afrika na uanzishwaji wa Jumuiya za Kikanda kama vile Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) hadi hivi sasa Tanzania bado ni kinara katika kutetea na kuadai maslahi ya Bara la Afrika.

Balozi Brigedia Jenerali Ibuge, amebainisha haya alipokuwa akizungumza na wadau kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ambao waliitemebelea Makao Makuu ya Wizara jijini Dodoma kwa lengo la kujifunza kuhusu majukumu ya Wizara, hasa katika kutetea maslahi ya Nchi nje ya mipaka ya Tanzania. Katibu Mkuu aliendelea kubainisha kuwa Wizara katika utekelezaji wa sera ya mambo ya nje pamoja na mambo mengine inahakikisha kuwa inatoa kipaumbele kwenye kulinda maslahi ya Nchi ikiwewo ulinzi na usalama.


NDC kwa upande wao wameipongeza Wizara kwa kazi nzuri inayofanywa na Ofisi zake za Ubalozi sehemu mbalimbali duniani katika kutangaza fursa zilizopo nchini kwenye maeneo yao ya uwakilishi madhalani utalii, biashara ya madini na mazao ya kilimo, pia kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza nchini.

source : BALOZI BRIGEDIA JENERALI IBUGE; USHAWISHI WA TANZANIA BADO NI IMARA KIKANDA NA KIMATAIFA
 
Ila mzee anakula nchi, alikuwa jalalani huyu. Sasa hivi yupo Paris, per diem ya kufa mtu. Acha asaliti yale aliyokuwa anayapigania🤣
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa. Jean Yves Le Drian

IMG_20210219_150204_225.jpg
Huenda anasema chondechonde!!!

Anasahau kuwa mabeberu wana network kali kuliko anavyodhani
 
Back
Top Bottom