Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Wachawi mlikuwa mnasema huyu waziri kaugua, kiko wapiSio madagascar tena sasa ni nchini ufaransa hali ikishakuwa tete sio. Tusubiri atarudi na chanjo au novida tena
Watu wanafanya kazi, mnawasingizia wa naugua, wakiendelea na kazi zao, eti wamesemwa sana, wameamua kutoka, wapuuzi sana nyinyi watuOk basi sawa ,wakisemwa kwamba hawaonekani ndio wanatokezea.
Kafuata chanjo kwaajili ya #TeamMadagascar 🤣🤣🤣🤣Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa. Jean Yves Le Drian
View attachment 1706279View attachment 1706280
Mara mabeberu, mara tunakwenda Ufaransa, Rubbish, shame upon you!Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa. Jean Yves Le Drian
View attachment 1706279View attachment 1706280
Ufaransa wanawachukulia kama "Siyo mabeberu kiviiiiiiiiiile" 🤣🤣🤣Mara mabeberu, mara tunakwenda Ufaransa, Rubbish, shame upon you!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]good morning baberu [emoji40]View attachment 1706289
Kaenda kwa usafiri wetu ama 1st Class ticket kwenye usafiri wa Wakenya au Wahabesh?Madagascar alisafiri kwa Dreamliner yetu.Sio Madagascar tena sasa ni nchini Ufaransa hali ikishakuwa tete sio. Tusubiri atarudi na chanjo au Novida tena.
Wachawi mlikuwa mnasema huyu waziri kaugua, kiko wapi
Unafikiri Mipango asingesemwa angetuambia kama anaumwa kweli?Watu wanafanya kazi, mnawasingizia wa naugua, wakiendelea na kazi zao, eti wamesemwa sana, wameamua kutoka, wapuuzi sana nyinyi watu
Mzee Yuko salama, puuzeni uzushiii, kwenda ufaransa au Burundi, ni miongoni mwa majukumu yake hakuna tatizooogood morning baberu [emoji40]View attachment 1706289
Masuala ya uwekezaji yametoka wapi, mmepaniki kumuona walahi, uwekezaji? Nani kakwambia kafuata masuala ya uwekezaji, wachawi roho zinawauma kumuona jamaa anatembea.Asemwe na nani huyo mzee wa kujipendekeza kwa jiwe? Kama China mwenyewe anaogopa kuwekeza Tz ndio itakuwa hao wafaransa?
Unataka ajipendekeze kwako? acha hizo Jiwe kampa maisha lazima amuangalie tofauti na hili ni kawaidaAsemwe na nani huyo mzee wa kujipendekeza kwa jiwe? Kama China mwenyewe anaogopa kuwekeza Tz ndio itakuwa hao wafaransa?