View attachment 2655254
Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magu, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba ya ACACIA na Barick, kabudi huyu huyu alikuwepo.
Na sasa ni yeye tena au kasingiziwa?