Profesa Kabudi, nenda Madagascar ukatuletee miche ya Vanilla

Mkuu umetoa ushauri mzuri sana wa kitaalam, hongera sana ila naona hukumuelewa vizuri mpandisha uzi.
 
Mbona Kagera bado kuna baridi sana karibu mwaka mzima?
Yes, Pemba wanalima, Kilimanjaro pia kuna watu wameanza kulima japo huko nahofia baridi inaweza kusababisha mazao duni.
 
Hazihitaji joto kama la pwani, huko kibiti naona joto linakuwa jingi sana
Zinahitaji joto? Nilihisi baridi ngoja nitafute mbegu nipeleke shambani kwangu Kibiti huko kuna mikorosho
 
Mkuu sina jibu la kitaalamu hapo ila ninachojua ni kuwa inastawi zaidi ikiwa pamoja na mazao mengine hasa kahawa na migomba.
Ni kwa sababu za kupata kivuli hasa majani ya migomba na hiyo mikahawa maana inakuwa inaleta kivuli
 
@mrangi mkuu,tumetoka mbali mimi na wewe mkuu ujue! Kule kwetu tulipokuwa tunalima matikiti maji,kwa Faizafoxy,napo haya makitu yanakubalii!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuranga, mwakisabe, mainge dah kule nlikuwa navuna tikiti na tango kma Sina akili nzuri
Mpaka Kuna jamaa walikuwa wafanyakazi hku wengine benki, wengine voda etc walinifata nao wakalime dah umenikumbusha mbali sana
Sawa Sawa ushauri wako ntakufanyia kazi
Ila connection najaribu kutoa Kadri Nnavyo weza
Mzee
Kama connection ya iliki niliwapa watu wngi mpaka chimbo wengine walifanya wengine tatizo wanataka
Kuletewa kitu mpaka wao walipo hawataki kuumia
Na siku zote nasema hakuna jambo rahisi rahisi
Lbda kama Kuna pesa mahali unachota

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Na hio Vanilla ikionekana itawatoa wakulima then inaletewa Saga kama la korosho.

Bravo.
CCM iliuwa kahawa Bukoba na Kilimanjaro CCM ni wahujum uchumi number moja Tanzania!
 
Mche mmoja kiasi gani?
Heka moja inachukua miche mingapi kwa wastani?
Mche mmoja unazalisha kilo/gramu ngapi kwa msimu?
Miche inachukua muda gani mpaka ifikie kuvunwa?
Msaada tafadhali...
Mkuuu ntakupa jibu hivi karibuni shaka hondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…