Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Nchi yetu ina uwezo wa kujitegemea,vibeberu vya nini tena?
Nchi tutaijenga sisi Watanzania sio watu wa nje(mabeberu)
Yeeeeeeeees,Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Huu ni ugeni mkubwa na muhimu kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa China?!Naona anajitahidi kuuweka bize uwanja wa Chato ili uonekane una tija kwa taifa
Kwa nini wasikutanie Ikulu ya Dodoma ameamua kumpeleka mgeni wa kiserikal ugenini?Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Huu ni ugeni mkubwa na muhimu kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka KIA?Yeeeeeeeees,
Chato International Airport π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Mitanooooo Tena
Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.
Huu ni ugeni mkubwa na muhimu kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Geita hakuna Ikulu?Kwa nini wasikutanie Ikulu ya Dodoma ameamua kumpeleka mgeni wa kiserikal ugenini?
Si atampokea pale kwenye jengo la 'MFUGALE TOWER'?Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita...
Kwani Geita hakuna Ikulu?Kwa nini wasikutanie Ikulu ya Dodoma ameamua kumpeleka mgeni wa kiserikal ugenini?
Mungu ni mwema!Asante kwa taarifa.
Kuna ubaya gani?Airport ya Chato walau itakuwa busy
Halafu Raisi anampokea Waziri!!