professional rubbishWakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba zamani Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alikuwa ni Spika wa Bunge lakini hiyo sheria iliondolewa na sasa Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na amesema kwamba zamani wale makamishna wa Uchaguzi walikuwa wanateuliwa na Rais lakini sasa hivi wanapendekezwa kwanza alafu ndo wanateuliwa.
Raha sio raha? Kwa mujibu wa Kabudi hakuna kipindi ambacho Tanzania ina mazingira mazuri ya Uchaguzi kama awamu hii.
Msikilizeni hapa mzee wa ithibati.
Takataka la jalalani , do not post his rubbish hereWakuu,

Juu ana suti chini ana ndalaProfesa majalala
Huyu mzee kipindi cha makusanyo ya maoni ya katiba mpya,mbona alikuwa mtu poa sana kwa kujenga hoja kwenye mijadala mbalimbali...Watu wanawaza MAV8 mkuu
Namshangaa sana Kwa umri huu kuwa Chawa ni hatari sana...Huyu mzee kipindi cha makusanyo ya maoni ya katiba mpya,mbona alikuwa mtu poa sana kwa kujenga hoja kwenye mijadala mbalimbali...
Nimecheka sana hadi nikasahau taabu za nchi hiiπππππππ