SIYO PROFFESSIONAL RUBISH. NI PROFFESORIAL RUBISH. SHIDA YENU NI SHULEprofessional rubbish

Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba zamani Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alikuwa ni Spika wa Bunge lakini hiyo sheria iliondolewa na sasa Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na amesema kwamba zamani wale makamishna wa Uchaguzi walikuwa wanateuliwa na Rais lakini sasa hivi wanapendekezwa kwanza alafu ndo wanateuliwa.
Raha sio raha? Kwa mujibu wa Kabudi hakuna kipindi ambacho Tanzania ina mazingira mazuri ya Uchaguzi kama awamu hii.
Msikilizeni hapa mzee wa ithibati.
Nimekuelewa...Anacho cha kupoteza ndiyo maana kanena hivyo,anabembeza Gratitudes zake.
Wewe ndo umesema hivyo sikuwa na maana hiyoSIYO PROFFESSIONAL RUBISH. NI PROFFESORIAL RUBISH. SHIDA YENU NI SHULE
🤔🤔💭 Sifa ya uprofesa ni muhimu ikatazamwa upya!!!Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba zamani Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alikuwa ni Spika wa Bunge lakini hiyo sheria iliondolewa na sasa Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na amesema kwamba zamani wale makamishna wa Uchaguzi walikuwa wanateuliwa na Rais lakini sasa hivi wanapendekezwa kwanza alafu ndo wanateuliwa.
Raha sio raha? Kwa mujibu wa Kabudi hakuna kipindi ambacho Tanzania ina mazingira mazuri ya Uchaguzi kama awamu hii.
Msikilizeni hapa mzee wa ithibati.
Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba zamani Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alikuwa ni Spika wa Bunge lakini hiyo sheria iliondolewa na sasa Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na amesema kwamba zamani wale makamishna wa Uchaguzi walikuwa wanateuliwa na Rais lakini sasa hivi wanapendekezwa kwanza alafu ndo wanateuliwa.
Raha sio raha? Kwa mujibu wa Kabudi hakuna kipindi ambacho Tanzania ina mazingira mazuri ya Uchaguzi kama awamu hii.
Msikilizeni hapa mzee wa ithibati.
Mzee aliyeokotwa jalalani anaelekea kuzeeka vibaya.Wakuu,

Wapo katika mode ya kusifia muda wowote uleHizo chaguzi za awali ambapo mazingira hayakua Rafiki, aliwahi kusema chochote?
Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki
Kabudi anasema kwamba zamani Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alikuwa ni Spika wa Bunge lakini hiyo sheria iliondolewa na sasa Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na amesema kwamba zamani wale makamishna wa Uchaguzi walikuwa wanateuliwa na Rais lakini sasa hivi wanapendekezwa kwanza alafu ndo wanateuliwa.
Raha sio raha? Kwa mujibu wa Kabudi hakuna kipindi ambacho Tanzania ina mazingira mazuri ya Uchaguzi kama awamu hii.
Msikilizeni hapa mzee wa ithibati.
Juu ana suti chini ana ndala
Mkuu prolofa huyo!!!!Alumni wa kitivo cha sheria udsm huyo 🤔🤔🤔