GE2025 Profesa Kabudi: Tunafanya Uchaguzi Mkuu mwaka huu katika mazingira bora kuliko yote tangu tupate Uhuru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu,

Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?

Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru hakuna kipindi ambacho mazingira ya Uchaguzi yamekuwa mazuri kama kipindi hiki

Kabudi anasema kwamba zamani Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alikuwa ni Spika wa Bunge lakini hiyo sheria iliondolewa na sasa Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na amesema kwamba zamani wale makamishna wa Uchaguzi walikuwa wanateuliwa na Rais lakini sasa hivi wanapendekezwa kwanza alafu ndo wanateuliwa.

Raha sio raha? Kwa mujibu wa Kabudi hakuna kipindi ambacho Tanzania ina mazingira mazuri ya Uchaguzi kama awamu hii.

Msikilizeni hapa mzee wa ithibati.

Uchawa una elimu kubwa kuliko shule
 
Dah! La profesa majalala chini lina ndala
 
Back
Top Bottom