GE2025 Profesa Kabudi: Tunafanya Uchaguzi Mkuu mwaka huu katika mazingira bora kuliko yote tangu tupate Uhuru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa lugha nyingine mzee Kabudi anaiambia jamii yake kuwa hakuna haja ya kusoma endapo uhakika wa kupata mahitaji ya kimaisha upo bila kutegemea elimu. Kama elimu ingekua shati basi mzee Kabudi angeweza kuivua na kuiuza au kubadilishana na chochote kinachomhakikishia kula yake.

Ni msomi ambaye hajaelimika hivyo hafai kuwa mfano kwa wanajamii.
 
Praise and worship mkono uende kinywani
 
anazungumza akiwa jalalani au akitokea wapi

Afute kauli ya kuokotwa jalalani
 
Hapo Kibudu amedhihirisha kuwa ni kibudu wa akili. Alikaa muda mwingi shuleni, kupoteza muda.

Yote biyo ni kutokana na hofu ya kurudi jalalani.
 
Mtu akikosa soni/haya anaweza kusema/fanya mambo ya aibu sana
 
Sadly Professor amejiharia mwenyewe,hatuna kile tunafanya kumrekebisha kwa kuwa kishakauka.Kayanena hayo kwa sababu ana uhakika kati ya wasikilizaji wake hawatomhoji/authenticate kauli yake,asingethubutu.Ubora wa Uchaguzi Uchafuzi huu ni kuwa Mh.Lissu yupo Death Row na CCM imenyimwa Kila HAKI wanazostahili kwa Kukusudia, Wenyenchi wapo under General Anaesthesia.
Tunataka Reforms,a total overhaul of everything by us.
 
Usiamini katika siasa, unawezakuta amemaanisha kinyume chake.
 
Alumni wa kitivo cha sheria udsm huyo 🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…