GE2025 Profesa Kabudi: Tunafanya Uchaguzi Mkuu mwaka huu katika mazingira bora kuliko yote tangu tupate Uhuru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ujinga ni kuamini maneno ya MACHAWA wanao bwanwaja tu ili waendelee kula.

Kula yao ni bora kuliko kitu chochote duniani.
 

Huyu si ndiye yule mjumbe wetu Antananarivo?

 
Prof hata chembe ya aibu huna? Uchawa na shibe vinakupofusha hata unamkufuru Mungu? Kweli aliyeilaani Africa kafa!
 
🤔🤔💭 Sifa ya uprofesa ni muhimu ikatazamwa upya!!!
 
Kwahiyo unaisumbua Left Auditory Cortex yako kumsikiliza mtu ambaye alisemaga Chuo Kikuu cha nchi ni Jalala?

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa wazee wanazeeka vibaya.Huyu jamaa tangu aseme anamshukuru Magu kwa kumtoa Jalalani..nilimshusha hadhi sana, yeye na the professer wengine..nchi yetu tuna mabingwa wa kukariri..
 

..serikali imegoma Makamishna kuteuliwa kupitia mchakato mpya.

..Mchakato mpya utatumika katika uchaguzi wa 2030 sio huu wa 2025.

..pia sheria inaelekeza uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 usimamiwe na Tume, lakini serikali haikutekeleza.

..Prof.Kabudi anasema uongo kwa makusudi, na hata aliokuwa akiwahutubia wanajua anasema uongo.

..Nchi yetu imefika mahali pabaya.
 
Mzee aliyeokotwa jalalani anaelekea kuzeeka vibaya.
 
Reactions: Lax
Wajumbe wa Kilosa mmenipitishia nini hiki?
 
Maptofesa wetu hao Tanzania.Wakishiba huwa vipofu na weledi hukaa likizo.
 


Ile juisi ya Madagascar iliisha ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…