To me wote ni "takataka" za matumbo yao!Watachinjana na Mwigulu Nchemba
Huu ndiyo muda wa kutoana kafara🤗,kule Mkumbo vs Mwigulu
Read between the lines, “kugombea mahali patakapo ongeza nguvu CCM” umeelewa nini hapo?Kwahyo blaza Mwigulu Nchemba ajiandae
Je kamaliza kazi aliyopewa na Mkulu? Je nchi nzima inapata maji masaa 24 bila mashaka? Je hakuna wanaokunywa maji machafu Tanzania nzima? Mheshimiwa raisi kashasema kama kakuteua na hujamaliza kazi zako basi tulia ulipo. Kwan mkuu Kitila Mkumbo unazani kazi uliyopewa ya kuhakikisha nchi inapata maji tiririka safi umeshaimaliza?Read between the lines, “kugombea mahali patakapo ongeza nguvu CCM” umeelewa nini hapo?
Nikutafunie kidogo, mpango wake Sio kupunguza nguvu ya CCM, Mwigulu chama gani?
Professor kaandika maneno machache tu na bado viraza hamjanasa kitu, hana mpango huo wa kupunguza nguvu ya chama chake, naamini itakuwa CCM vs Opposition.Huu ndiyo muda wa kutoana kafara🤗,kule Mkumbo vs Mwigulu
Obviously hajamaliza, itatuchukua muda sana kuwa na mifumo yenye uhakika wa upatikanaji wa maji kutokana na hali za kijeografia, gharama za miundombinu na uwajibikaji. Isipokuwa kuna hatua wamesogea mbele tofauti na hapo awali.Je kamaliza kazi aliyopewa na Mkulu? Je nchi nzima inapata maji masaa 24 bila mashaka? Je hakuna wanaokunywa maji machafu Tanzania nzima? Mheshimiwa raisi kashasema kama kakuteua na hujamaliza kazi zako basi tulia ulipo. Kwan mkuu Kitila Mkumbo unazani kazi uliyopewa ya kuhakikisha nchi inapata maji tiririka safi umeshaimaliza?
Sasa kama hukwepo wakati wakipeana JD mbona unamjibia hayo mengine ya atagombea wapi, mkuu jaribu kuitunza heshima yako ndogo iliyobakiProfessor kaandika maneno machache tu na bado viraza hamjanasa kitu, hana mpango huo wa kupunguza nguvu ya chama chake, naamini itakuwa CCM vs Opposition.
Obviously hajamaliza, itatuchukua muda sana kuwa na mifumo yenye uhakika wa upatikanaji wa maji kutokana na hali za kijeografia, gharama za miundombinu na uwajibikaji. Isipokuwa kuna hatua wamesogea mbele tofauti na hapo awali.
Kuhusu kumaliza kazi aliyopewa na mkulu, nadhani hilo ni swali linalotakiwa kuwa directed kwa wahusika maana sikuwepo wakipeana job description.
Hujielewi, sintoshangaa pia kwanini hiyo comment ya Mkumbo kutoielewa. Heshima yangu inakuhusu? Mind yours.Sasa kama hukwepo wakati wakipeana JD mbona unamjibia hayo mengine ya atagombea wapi, mkuu jaribu kuitunza heshima yako ndogo iliyobaki
Na majungu, fitina na uongoMshindane uchawi tu na Mwigulu Nchemba