Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo atangaza kugombea Ubunge 2020

''Uchaguzi'' unaokuja mtu yeyote wa CCM anaweza kugombea mahali popote na nina uhakika ''atashinda''. Kimsingi ''uchaguzi'' unaokuja ni tukio la Magufuli kuwagawiwa watu waliompendeza roho yake majimbo.

Tumefika steji mbaya sana kwa sababu wawakilishi wa wananchi sasa hivi hawawaogopi tena wananchi kwani wanajua hawana uwezo wa kuwaondoa kwenye nafasi zao na badala yake wanamtii Magufuli kwa sababu wanajua ndiye mwenye uamuzi wote.
 
Miezi miwili iliyopita Kitila nyota yako ilikuwa inang'aa hadi Ikulu kwa baba Jeska.

Baada ya Mwigulu kwenda kwa mganga sasa kibao kimegeuka. Kitila tulia na ukatibu wako. Utakosa vyote.
 

Exactly. Na sio kushinda kwa maana ya kushinda, bali ni uhakika wa kutangazwa mshindi bila kujali box la kura linasema nini.
 
Mwigulu ni intellectual ????
 
Na hili linathibitisha hoja kwamba ccm ya Magufuli haifanyi siasa tena bali inafanya ujambazi wa madaraka tu.
 
 
Kwa hiyo blaza Mwigulu Nchemba ajiandae
Yule out kashakatwa mbona.
Yaani kwa kifupi wabunge wote wazoefu wengi sana wamekatwa bunge lijalo kutakuwa na wabunge wapya na spika atakaewepo atakuwa na kipindi kigumu sana alafu na mh hapo hapo ndio atatumia fursa zaidi ya kuongeza.
Naomba niishie hapo
 
Nawakubali sana wanasiasa wanaohama vyama bila kutukana vyama walivyotoka kama kitila na Mama Ana Mwigila..
Lakini kuna utopolo kama Lijuakali na yuke mbuge wa Ukonga..
 
Musikizishe clip hii:
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…