Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

Sidhani kama huko tunakokwenda nchi itasamehewa madeni na wafadhiri tena.
 
Ndugai kwenye hili aliona mbali
Huyo angojee aone kama nchi itauzwa?,
Watu wanaakili sana, walijua wakimuogopesha mama kwenye mikopo nchi isinge endesheka na angesalimu amri, kumbe ikawa tofauti bi mkubwa akakomaa, na mambo yakawa shwari kabisa!
#walijaribu kum brain wash.!
 
91.7 tri March, 2024 - hadi 96.8 June, 2024 ni nyongeza ya trilioni 5.1 kwa miezi mitatu - April, May na June, 2024 sawa na wastani wa 1.7 trilioni kwa mwezi katika hiyo miezi mitatu.
Diuuuuu Mama Kizimkazi.....kopaa weee wa Tz mijinga haiwezi kuhojiiwaliokuzunguka wana njaa wape mianya waibe wewe hutaguswa.....majeshi umeongeza salary kimya kimya nao wanacheka cheka hawaaamini nyonfeza ile ......sasa nani atakukemea ?? Kopa homola tu mama....mijitu bara kuyachonganisha yagombane wewe puga Abdul na RA wako bandarinii wana gemua .....
 
Hapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:

1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)

Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
 
Miongoni mwa mambo ambayo huwa nayapuuza sana ni hofu juu ya kuongezeka kwa deni la Taifa, Nchi is bout generation and generation, vitalipa vizazi vijavyo, sasa watu wapo kana kwamba watayaona malipo ya madeni haya mengine ni ya miaka 50,mbele ya safari 😇😇😇😇
 
Sio rahisi kuelewa maana inahusisha deni la ndani,denk la Nje,deni la sekta binafsi na hati fungani za serikali.

Hilo ni somo linalojitegemea kwenye Masomo ya Uchumi
Inaeleweka vizuri sana, deni letu linakuwa kwa kasi sana kwa sababu ya kukosa nidhamu ya matumizi ya pesa za umma na hili deni litakuja kututokea puani muda sio mrefu sana.
 
Pia wanasema hata marekani na wao wanamadeni ,lakini wananzengo walishasema ipo siku nchi itapigwa mnada.
Deni la Marekani ni tofauti sana na la kwetu, Wamarekani wao wanakopesheka kwa kuuza Treasury Bills na Bonds za serikali kuu na majimbo, pia mfumo wa dunia kutumia dollar yao ni faida kwao katika kuendelea kukopesheka hata kama wasipolipa hilo deni.
 
Hapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:

1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)

Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
Mwongo mkubwa, Tanzania haipo kwenye nchi ishirini 20,zinazodaiwa zaidi Afrika!
 
Hapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:

1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)

Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
Waziri wa mipango na waziri wa fedha kutokea mkoa wa singida! Tumepigwa na kitu kizito
 
Ahsante kwa taarifa...

Alafu unakuta mtu anakufokea kabisa unanijua mimi nani wewe?
Kumbe wote tunadaiwa trillion kadhaa...

Cc: Mahondaw
 
Hujui kitu.Nakupa mfano Majizi hapo NMB na CRDB zilioata Mkopo wa mabilioni ya Shilingi na taasisi za Kimataifa kuja Tanzania,hela hizo zinahesabiwa kwenye national debt na sio government debt.

Nyie mbulula hiyo ni kozi ya somo la Uchumi hamuwezi elewa bila kwenda darasani how it works na siku zote unapokoti maneno ya kiuchumi uwe makini na matumizi yake.
Ni program za serikali hizo, kwa hiyo mkopo wa nyumba yako ni deni la serikali?
 
Ni program za serikali hizo, kwa hiyo mkopo wa nyumba yako ni deni la serikali?
Umekopwa kutoka Nje ya Nchi? Au hujawahi sikia Serikali inatoa guarantee Kwa kampuni binafsi kuchukua mikopo Nje Kwa Ajili ya uwekezaji?
 
Inaeleweka vizuri sana, deni letu linakuwa kwa kasi sana kwa sababu ya kukosa nidhamu ya matumizi ya pesa za umma na hili deni litakuja kututokea puani muda sio mrefu sana.
Kukosa nidhamu ya matumizi ndio kukoje?
 
Hapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:

1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)

Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
Wacha uzushi,weka source
 
Back
Top Bottom