ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa Nchi kudaiwa Cha ajabu ni kipi? Nchi gani haidaiwi?Deni ni deni tu
Maana ya deni ni kwamba unadaiwa yaani ulikopa Baada ya kuwa huna na unatakiwa kulipa
Sasa Nchi kudaiwa Cha ajabu ni kipi? Nchi gani haidaiwi?
View: https://www.instagram.com/reel/DB1vhkionAI/?igsh=MWN1YTljdnhuc3BuNw==%5B/URL
Huyo angojee aone kama nchi itauzwa?,Ndugai kwenye hili aliona mbali
Diuuuuu Mama Kizimkazi.....kopaa weee wa Tz mijinga haiwezi kuhojiiwaliokuzunguka wana njaa wape mianya waibe wewe hutaguswa.....majeshi umeongeza salary kimya kimya nao wanacheka cheka hawaaamini nyonfeza ile ......sasa nani atakukemea ?? Kopa homola tu mama....mijitu bara kuyachonganisha yagombane wewe puga Abdul na RA wako bandarinii wana gemua .....91.7 tri March, 2024 - hadi 96.8 June, 2024 ni nyongeza ya trilioni 5.1 kwa miezi mitatu - April, May na June, 2024 sawa na wastani wa 1.7 trilioni kwa mwezi katika hiyo miezi mitatu.
Inaeleweka vizuri sana, deni letu linakuwa kwa kasi sana kwa sababu ya kukosa nidhamu ya matumizi ya pesa za umma na hili deni litakuja kututokea puani muda sio mrefu sana.Sio rahisi kuelewa maana inahusisha deni la ndani,denk la Nje,deni la sekta binafsi na hati fungani za serikali.
Hilo ni somo linalojitegemea kwenye Masomo ya Uchumi
Deni la Marekani ni tofauti sana na la kwetu, Wamarekani wao wanakopesheka kwa kuuza Treasury Bills na Bonds za serikali kuu na majimbo, pia mfumo wa dunia kutumia dollar yao ni faida kwao katika kuendelea kukopesheka hata kama wasipolipa hilo deni.Pia wanasema hata marekani na wao wanamadeni ,lakini wananzengo walishasema ipo siku nchi itapigwa mnada.
Mwongo mkubwa, Tanzania haipo kwenye nchi ishirini 20,zinazodaiwa zaidi Afrika!Hapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:
1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)
Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
Waziri wa mipango na waziri wa fedha kutokea mkoa wa singida! Tumepigwa na kitu kizitoHapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:
1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)
Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
Evidence!Mwongo mkubwa, Tanzania haipo kwenye nchi ishirini 20,zinazodaiwa zaidi Afrika!
Ni program za serikali hizo, kwa hiyo mkopo wa nyumba yako ni deni la serikali?Hujui kitu.Nakupa mfano Majizi hapo NMB na CRDB zilioata Mkopo wa mabilioni ya Shilingi na taasisi za Kimataifa kuja Tanzania,hela hizo zinahesabiwa kwenye national debt na sio government debt.
Nyie mbulula hiyo ni kozi ya somo la Uchumi hamuwezi elewa bila kwenda darasani how it works na siku zote unapokoti maneno ya kiuchumi uwe makini na matumizi yake.
Umekopwa kutoka Nje ya Nchi? Au hujawahi sikia Serikali inatoa guarantee Kwa kampuni binafsi kuchukua mikopo Nje Kwa Ajili ya uwekezaji?Ni program za serikali hizo, kwa hiyo mkopo wa nyumba yako ni deni la serikali?
Kukosa nidhamu ya matumizi ndio kukoje?Inaeleweka vizuri sana, deni letu linakuwa kwa kasi sana kwa sababu ya kukosa nidhamu ya matumizi ya pesa za umma na hili deni litakuja kututokea puani muda sio mrefu sana.
Wacha uzushi,weka sourceHapa kuna orodha ya nchi kumi zinazoongoza kwa kuwa na deni kubwa la taifa barani Afrika:
1. Zimbabwe
2. Eritrea
3. Ghana
4. Mozambique
5. Zambia
6. Angola
7. Tanzania
8. Kenya
9. Sudan
10. Congo (DRC)
Nchi hizi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi zinazohusiana na viwango vya juu vya deni, na hali hii inaweza kuathiri maendeleo yao ya kijamii na kiuchumi.
Je Bado tunakopesheka, au tumevuka mstari wa kutokopeshekaConcept ya deni la Serikali haieleweki na wengi
Milioni 2 zangu wanipe kwanzaNdugu MTANZANIA mwenzangu kama .nchi tunadaiwa Trillion 96.8 manake wewe na mimi tunadaiwa milioni 2 kila mmoja😃
Hapo kama unafamilia na wasiojiweza pia wanadaiwa