Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Kwa wanao ijua Iringa vizuri, Mwembetogwa ni kijijini? Hawa ndio aina ya maprofesa ambao wanakatisha sana tamaa ya vijana wetu kuifikia ndoto hiyo ya uprofesaNi kweli hatishiki! Yeye anaona yuko na maelfu ya watu wamemzunguka kila anakopita.
Kuna haja ya kula karoti na mboga za majani kwa wingi ili tuwezeshe macho yetu kuona vizuri na tuone watu vizuri na sio kusema mchanga, visiki na miti nao wanaweza kua watu kama Lipumba anavyoona.
View attachment 1601984