kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Mdogo wangu kwa hii kazi yako unajichosha bure. Watu tulishaamua hatumtaki magufuli wenu.Chadema yetu ilikuwa inatembelea nyota ya Dk Slaaa,sasa hivi tunavuna aibu,mashoga kama wewe ndio wapiga mbiu! Aibu kubwa sana.
Unajipa njaa ya bure tafuta shughuli ya kufanya.