Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Kwa wanao ijua Iringa vizuri, Mwembetogwa ni kijijini? Hawa ndio aina ya maprofesa ambao wanakatisha sana tamaa ya vijana wetu kuifikia ndoto hiyo ya uprofesaNi kweli hatishiki! Yeye anaona yuko na maelfu ya watu wamemzunguka kila anakopita.
Kuna haja ya kula karoti na mboga za majani kwa wingi ili tuwezeshe macho yetu kuona vizuri na tuone watu vizuri na sio kusema mchanga, visiki na miti nao wanaweza kua watu kama Lipumba anavyoona.
View attachment 1601984
anawakejeli wanaompa hela ya kampeni, ngoja wamtemeProfesa Lipumba amesema anachokifanya ni kwenda maeneo ya vijijini ambako ndio kuna changamoto kubwa za wananchi na sio kukusanya watu kwenye malori na mabasi kuwapeleka kwenye mikutano kama vyama vingine.
Umemaliza kazi , kuna watu vituko, hivi hasa anatafuta nini? I guess amepewa hela na CCM kwa ratiba maalum ya kuzunguka inabidi aikamilishe....Sijui akiingia kwenye blanketi yake usiku anajihesabu na kujitafakari kama anafanya kampeni au anazurura!!!
Mnahangaika na Lissu wakati Mgombea wenu yuko hoi kama gari ya mkaa, Trip Shamba Trip Gereji, hata hamshituki? heeHata wa bwana T.Lissu.
Chadema hawatakuelewa kabisa kwa hili jambo.
Huyu na lisu wanatafauti gani, wote wanaota ndoto za alinaacha[emoji23] Haha huyu nae anampango wa kushinda URAIS?
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Huyu na lisu wanatafauti gani, wote wanaota ndoto za alinaacha
Muulize Wassira. Alinza unajimu kabla yakoChama cha Mbowe kitajiunga nao pia.
Huyu mzee sijui alifeli wapi
Huu ni Moja ya utunzaji mzuri wa gari lako.Mnahangaika na Lissu wakati Mgombea wenu yuko hoi kama gari ya mkaa, Trip Shamba Trip Gereji, hata hamshituki? hee
Hahaha Professa naye kawageuka CCMkukusanya watu kwenye malori na mabasi kuwapeleka kwenye mikutano kama vyama vingine.
Mji ni mmoja tu Dar vingine ni vijiji tu
Wanasiasa huwa wana malengo ya mbali nje ya uchaguzi mkuu pia.
Unajua hapa anajipima uhai wa chama na kutafuta wanachama wapya.
Tunaweza kumbeza lakini anaeneza sumu ya chama chake mioyoni mwa watu.
Anakopita hatakosa wanachama wapya hivyo ni njia mojawapo ya kujenga chama hatimaye atakuwa na madiwani na wabunge baadae kuliko kutokwenda kabisa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Lipumba amevunja rekodi Iringa kwa kuwa na watu wachache kams picha hiyo ni halisi, lakini maeneo snakusanya watu wengi.Ni kweli usemayo boss, ila wali wa kushiba unaounea mezani. Kwa idadi ya watu anaowapata hicho chama anachotaka kukijenga kutakuwa baada ya miaka 50. Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, sasa hivi ndio anajua hakuwa na mvuto wowote.
Chadema yetu ilikuwa inatembelea nyota ya Dk Slaaa,sasa hivi tunavuna aibu,mashoga kama wewe ndio wapiga mbiu! Aibu kubwa sana.Ni kweli usemayo boss, ila wali wa kushiba unaounea mezani. Kwa idadi ya watu anaowapata hicho chama anachotaka kukijenga kutakuwa baada ya miaka 50. Huyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, sasa hivi ndio anajua hakuwa na mvuto wowote.