Mdogo wangu kwa hii kazi yako unajichosha bure. Watu tulishaamua hatumtaki magufuli wenu.Chadema yetu ilikuwa inatembelea nyota ya Dk Slaaa,sasa hivi tunavuna aibu,mashoga kama wewe ndio wapiga mbiu! Aibu kubwa sana.
Ahaaaa, wewe na nani mmemchoka? Mimi nipo Chadema ila nitamchagua kwa maendeleo ya Tanzania.Mdogo wangu kwa hii kazi yako unajichosha bure. Watu tulishaamua hatumtaki magufuli wenu.
Unajipa njaa ya bure tafuta shughuli ya kufanya.
Chadema yetu ilikuwa inatembelea nyota ya Dk Slaaa,sasa hivi tunavuna aibu,mashoga kama wewe ndio wapiga mbiu! Aibu kubwa sana.
Labda wa Chaneta, chama Cha netiboli Tanzaniaπ Haha huyu nae anampango wa kushinda Urais?
Let's meet at the top, cheers π»
Nae atakuja kusema kaibiwa kura zake πππππππππNi kweli hatishiki! Yeye anaona yuko na maelfu ya watu wamemzunguka kila anakopita.
Kuna haja ya kula karoti na mboga za majani kwa wingi ili tuwezeshe macho yetu kuona vizuri na tuone watu vizuri na sio kusema mchanga, visiki na miti nao wanaweza kua watu kama Lipumba anavyoona.
Huyu mzee chizi Sana haoni Wala haelewi?Ni kweli hatishiki! Yeye anaona yuko na maelfu ya watu wamemzunguka kila anakopita.
Kuna haja ya kula karoti na mboga za majani kwa wingi ili tuwezeshe macho yetu kuona vizuri na tuone watu vizuri na sio kusema mchanga, visiki na miti nao wanaweza kua watu kama Lipumba anavyoona.
Hana Nia na hafikirii kushinda ndo maana haoni tatizo. Don nalimison type.Sijui akiingia kwenye blanketi yake usiku anajihesabu na kujitafakari kama anafanya kampeni au anazurura!!!
Yeah, ni mpumbavu kiwango Cha uprofesa.Kumbe hata maprofesa wapumbavu wapo