Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

Niliwahi kwenda Chunya hakyamama mnyaki mwenye baiskeli au pikipiki hapishi gari bali wewe umkwepe au umfuate nyuma.
Wanyaki mna kiburi shetani aje kusomea kwenu🤣🤣🤣
Somehow,siyo sana
 
Niliwahi kwenda Chunya hakyamama mnyaki mwenye baiskeli au pikipiki hapishi gari bali wewe umkwepe au umfuate nyuma.
Wanyaki mna kiburi shetani aje kusomea kwenu🤣🤣🤣
Binafsi mimi sina uhusiano wala asili ya huko, Frankly me nina asili ya Kigoma na Kilimanjaro, ni sauti tu hii nataka iache kuniijia na dawa ni kusema ndio sauti itakoma
 
Mkuu hii sio ndoto , ni sauti iliyokuwa inajirudia inaniijia na sijui nimwambie nani ili ikome leo nimeamua kuandika hapa JF ili sauti hii ikome vizuri.
Usijali Mkuu. Hata zamani wa agano la kale akina Mosses walikiwa wanatokewa na Sauti kama iliyokutokea.

You never know
 
Jamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
Basi ungebakia nayo nyumbani kwako
 
Usijali Mkuu. Hata zamani wa agano la kale akina Mosses walikiwa wanatokewa na Sauti kama iliyokutokea.

You never know
Hayo mengine mimi hayanihusu mkuu nilitaka tu hii hali iniondokee na nimeambiwa dawa ni kusema tu hakuna dawa nyingine tofauti na kusema
 
Hujaielewa hiyo ndoto. Kaa utulie utaielwa vizuri. Ndoto za kweli huwa zina kificho ndani yake.
 
Basi ungebakia nayo nyumbani kwako
Nimesema ili sauti inayoniijia iishe na dawa yake ni kusema mkuu sasa nitabaki nayo nyumbani kwann na itaishaje
 
Hayo mengine mimi hayanihusu mkuu nilitaka tu hii hali iniondokee na nimeambiwa dawa ni kusema tu hakuna dawa nyingine tofauti na kusema
Kila la kheri Mkuu
 
Hujaielewa hiyo ndoto. Kaa utulie utaielwa vizuri. Ndoto za kweli huwa zina kificho ndani yake.
Mkuu sio ndoto yaani sio kama nalala halafu naota laa hasha! nikiwa nimekaa peke yangu bila uwepo wa mtu mwingine nasikia Sauti inaniambiia hata nikiziba masikio bado inasikika tu ni zaidi ya miezi 6 sasa. Leo nimesema na dawa ni kusema hakuna dawa nyingine.
 
Sawa mkuu, chochea Moto una karama nzuri sana, usilale.
 
Wanyakyusa kwa Mwandosya huwaambii kitu. Mwacheni mzee wetu amalizie uzee wake.
 
Binafsi mimi sina uhusiano wala asili ya huko, Frankly me nina asili ya Kigoma na Kilimanjaro, ni sauti tu hii nataka iache kuniijia na dawa ni kusema ndio sauti itakoma
Sijakuita mnyakyusa mzee usijali wala siwezi kupinga ndoto bali tunakupa muda ukusaidie kutimiza ndoto au muda ukuangushe
 
Si ulisema Prof Assad ndo agombee leo tena unakuja Prof. mwandosya
 
Nimesema ili sauti inayoniijia iishe na dawa yake ni kusema mkuu sasa nitabaki nayo nyumbani kwann na itaishaje
Ungemwambia hata balozi wa nyumba 10
 
Mwaga ushafika Kileleni
 
Unaijua vizuri sauti ya Roho Mtakatifu ndugu? Kama huna uhakika kama ni sauti ya Roho Mtakatifu, basi andika kuwa ni mawazo yako. Usi msingizie Mungu kwa jambo ambalo hajakutuma uliseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…