To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Somehow,siyo sanaNiliwahi kwenda Chunya hakyamama mnyaki mwenye baiskeli au pikipiki hapishi gari bali wewe umkwepe au umfuate nyuma.
Wanyaki mna kiburi shetani aje kusomea kwenu🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somehow,siyo sanaNiliwahi kwenda Chunya hakyamama mnyaki mwenye baiskeli au pikipiki hapishi gari bali wewe umkwepe au umfuate nyuma.
Wanyaki mna kiburi shetani aje kusomea kwenu🤣🤣🤣
Binafsi mimi sina uhusiano wala asili ya huko, Frankly me nina asili ya Kigoma na Kilimanjaro, ni sauti tu hii nataka iache kuniijia na dawa ni kusema ndio sauti itakomaNiliwahi kwenda Chunya hakyamama mnyaki mwenye baiskeli au pikipiki hapishi gari bali wewe umkwepe au umfuate nyuma.
Wanyaki mna kiburi shetani aje kusomea kwenu🤣🤣🤣
Usijali Mkuu. Hata zamani wa agano la kale akina Mosses walikiwa wanatokewa na Sauti kama iliyokutokea.Mkuu hii sio ndoto , ni sauti iliyokuwa inajirudia inaniijia na sijui nimwambie nani ili ikome leo nimeamua kuandika hapa JF ili sauti hii ikome vizuri.
Mmhm!Mwandosya hata ngazi za ndege Boeing 373 hawezi kumaliza
Basi ungebakia nayo nyumbani kwakoJamani naomba Mzee wa watu asishirikishwe kwa chochote kwenye uzi huu naomba nieleweke hivi Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
Hayo mengine mimi hayanihusu mkuu nilitaka tu hii hali iniondokee na nimeambiwa dawa ni kusema tu hakuna dawa nyingine tofauti na kusemaUsijali Mkuu. Hata zamani wa agano la kale akina Mosses walikiwa wanatokewa na Sauti kama iliyokutokea.
You never know
Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.
Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa inanisumbua sana. Sauti inaniambia niseme Profesa Mark Mwandosya aambiwe agombee urais atashinda lakini ataongoza kwa kipindi kimoja tu, ahakikishe anawapa mamlaka wananchi na kuipa dira ya kiuchumi na kiutawala nchi.
Ahakikishe mgombea mwenza wake ni competent enough kuongoza nchi . Ni hayo tu kwa kufikisha ujumbe hapa nahisi sauti hii inakoma kuniijia.
Aksante
Kila la kheri MkuuHayo mengine mimi hayanihusu mkuu nilitaka tu hii hali iniondokee na nimeambiwa dawa ni kusema tu hakuna dawa nyingine tofauti na kusema
Mkuu sio ndoto yaani sio kama nalala halafu naota laa hasha! nikiwa nimekaa peke yangu bila uwepo wa mtu mwingine nasikia Sauti inaniambiia hata nikiziba masikio bado inasikika tu ni zaidi ya miezi 6 sasa. Leo nimesema na dawa ni kusema hakuna dawa nyingine.Hujaielewa hiyo ndoto. Kaa utulie utaielwa vizuri. Ndoto za kweli huwa zina kificho ndani yake.
Mkuu sio ndoto yaani sio kama nalala halafu naota laa hasha! nikiwa nimekaa peke yangu bila uwepo wa mtu mwingine nasikia Sauti inaniambiia hata nikiziba masikio bado inasikika tu ni zaidi ya miezi 6 sasa. Leo nimesema na dawa ni kusema hakuna dawa nyingine.
Picha ya kitu gani unayotaka?Njoo na picha
Sijakuita mnyakyusa mzee usijali wala siwezi kupinga ndoto bali tunakupa muda ukusaidie kutimiza ndoto au muda ukuangusheBinafsi mimi sina uhusiano wala asili ya huko, Frankly me nina asili ya Kigoma na Kilimanjaro, ni sauti tu hii nataka iache kuniijia na dawa ni kusema ndio sauti itakoma
Ungemwambia hata balozi wa nyumba 10Nimesema ili sauti inayoniijia iishe na dawa yake ni kusema mkuu sasa nitabaki nayo nyumbani kwann na itaishaje
Mwaga ushafika KileleniNianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.