TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema PROFESA MASUHA aliekuwa kitengo cha MECHANICAL COET amefariki dunia asubuhi ya leo.

source: MTOTO WAKE
 
habari zilizotufikia hivi punde zinasema PROFESA MASUHA aliekuwa kitengo cha MECHANICAL COET amefariki dunia asubuhi ya leo..source MTOTO WAKE
RIP prof, you taught me production engineering second year duh.
 
Mbona Ma-Profs UDSM wanadondoka kama majani ya mkungu wakati wa kiangazi! LOL.
 
Rip prof ... Coet inapoteza walimu na ta ni wachache sijui itakuwaje mbele..
 
duh i cant believe? nilidhani unafanya kazi guest house maana mambo yako yale ?
ila yanahusu production so naona kweli ubest student ulikuhusu
Umeona eeeeh, kule ni vijimambo tu ...............!
 
Mimi sikumfahamu, lakini kama ni profesa ni lazima kipuli muhimu kimenyofoka. RIP.
 
Hakika misiba inasikitisha siku zote. haizoeleki. ni majonzi na simanzi kwa wafiwa, jamaa, ndugu, marafiki na walihusiana kwa lolote katikati ya maisha yake pamoja na wakusoma. neno moja muhimu maprof; wanasoma sana. tena vitabu vingi. wanavielewa na kuvichambua hata kutunga mambo mapya yatokanayo na ufahamu huo walio upata. hayo yote ni ya kitambo kidogo yaani wakati pumzi yako Mungu hajaitaka. Akiichukua ndio mwisho wa yote. mmoja wetu ameandika Mungu amulaze mahala alipo mpangia. kumbe unaweza kupangiwa pema au pabaya. sasa jamani maprof mbona hamsomi kitabu kimoja kilicho muhimu kuliko vyote? kitabu kinachofanya upangiwe mahala pema au pabaya. fikiri sas juu ya prof; amepokewa na nani? Yesu au shetani? na huo ndio u milele wake. neno linasema natangulia kwenda kuwawekea makao kama yasingelikuwapo ningeliwaambia. nani hao anaowawekea makao, waliomtii na kumuamini na kumfuata YESU. aliyesulubiwa naye alighamua akasema usinisahau kwenye ufalme wako. akajibiwa hakika nakuambia leo hii utakuwa peponi pamoja nami kwa baba. jifunzeni kwa msiba huu na mkajiandae.
 
Back
Top Bottom