Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 606
watu wengine kwa mbwembwe: best student in ......halafu ukaishia wapi?
Mkuu umenichekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wengine kwa mbwembwe: best student in ......halafu ukaishia wapi?
Alianza kuwa dean baada ya Rwakabamba kupata kazi kweye taasisi fulani ya kimataifa kule Nigeria. Baada ya mkataba wa Rwakabamba kuisha alirudi Tanzania na kutumia muda wake pale temporarliya kabla ya kuamua kurudi Rwanda. Masuha alikuwa Dean wa Foe kwa vipindi viliwli, cha kwanza kile alichmorithi Rwakabamba, alikimaliza nadhani mwaka 1991, akarithithiwa na profesa Materu ambaye alipomaliza kipindi chake alikwenda juu kiutawala na baadaye kuhamia World Bank kwenye mradi wa Africa Virtual University. Masuha alichukua tena kipindi cha pili kuanzia mwaka 1998 baada ya Materu kuondoka ingawa aliondolewa madarakani na Profesa Luhanga kwa kutokuelewana kutokana na kuwa na misimamo tofauti kutokana na mambo ya wanafunzi. Interestingly, Profesa Luhanga kabla ya kupanda vyeo, alipandishwa na Masuha kuwa Associate Dean a wa Postgraduate mwanzoni mwa miaka tisini, jambo ambalo lilifanya Luhanga apande hadi kuwa Director of postgraduate studies, Chief Academic officer na baadaye kuwa Vice Chancelleor. Lakini safari hii Luhanga akamgeuka mtu aliyemfungulia mlango.Mimi sikuwa faculty of engineering lakini nakumbuka kuwa alikuwa dean wa faculty hiyo baada ya kuondoka Prof Rwakabamba kurudi Rwanda. RIP Senior Prof.
Umesahau Ng'amboUlikulia mitaa gani?..Darajani?Simba Road?,Estate? Kileleni?,Mikoroshini? Au wapi? Ilikuwa mwaka gani?
Kwenye mwaka wetu I was the Best student in Production Engineering, na ndiye aliyetufundisha mkuu (mwaka wa pili).
RIP prof .............!
Mimi nilianzia darajani then tukaamia Ng'ambo. Ila nilipenda sana kilimahewa na kileleni da chuo a place to beUlikulia mitaa gani?..Darajani?Simba Road?,Estate? Kileleni?,Mikoroshini? Au wapi? Ilikuwa mwaka gani?
Kweli yaani chuo ni sehemu nzuri sana good memories yaani hata Mimi nimepa miss sananimezaliwa simba road, then tukahamia kileleni nikiwa 4yrs old mpaka naolewa nimeondokea hapo! Am missing those areas, am missing ud, mpaka leo nasali kanisa la chuo! Nimeshindwa kuhama! Alot of memories down there, kudalikana kidali na fr. Mogella na fr sawia!! Lol! Mmenikumbusha mbaliiiiiiiii!
Mambo gani tena hayo. Engineer nitumie connection zipo km mbili hivi watoto wa chuo nimezimiss.Umeona eeeeh, kule ni vijimambo tu ...............!
Zote kwa Lissu ,NI YEYEEMsisahau kumchagua Mh. Magufuli