cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
kabisaaaaaaa baba lessse ndiye alikuwa akiimbisha kibisa!! Ulikuwa unakuja sunday school michezo ya kinisani na mongella na juanita puja, tadei semboja, peter kyulule etc??? Was sooooooo funny! Mwl mndolwa na mlimani primary je?? Ujue lintu alikufaga, mtoto wa mwl mwampembwa!hakika basi nitakua nakufahamu,,unakumbuka enzi za new year party udasa pale watu na cupons zao za vinywaji na misosi full kubembea stress free kipindi hicho