TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

..............Dunia mapito.... mwenzetu ametangulia ... yake yamepita.. yamebaki yakwetu..lililobaki ni sisi kufanya yaliyo mema kwa binadamu wenzetu na kusaidiana .. tupunguze roho mbaya ... tumche MUNGU.........R.I.P Prof.
 
Acha mapepe wewe huo ni ushindi wangu na kuwezeshwa na Prof, acha wivu na bado nipo vzr vitoto vingine bhana ...
Kimbweka ntake radhi mwanangu, mimi ndiyo nilikufundisha UDSM. Umepata kazi sasa unatudharau.Sawa
 
Last edited by a moderator:
Kimbweka ntake radhi mwanangu, mimi ndiyo nilikufundisha UDSM. Umepata kazi sasa unatudharau.Sawa

Ulinifundisha somo gani, sasa nani mwenye mbwembwe hapo...........?
Halafu mie nimejiajiri sijaajiriwa kwa hiyo kazi imenipata mimi na si mimi nimepata kazi ...........!:rockon:
 
Pole kwa mzee (mkonzi), sute, lily (mihayo), kibibi na mdogo wa mdogo kanitoka jina! Nilicheza nao udsm enzi hizooooo! Rip prof!!
 
Kukamata watu ni sifa? Maprof wa kibongo wengi hufa without any recognition! Wanafanya mapenzi ovyo na wanafunzi wa kike,hawana mchango wowote kwa taifa,wamejaa kiburi kwa kukariri mambo!Hata wafe wote maana hatuoni mchango wao zaidi ya kufrustrate watu na kubwabwaja maneno ovyo

Huwezi kuwa mzima mpumbavu wewe!
 
Ufunuo wa Yohana
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Pole kwa mzee (mkonzi), sute, lily (mihayo), kibibi na mdogo wa mdogo kanitoka jina! Nilicheza nao udsm enzi hizooooo! Rip prof!!

alikuwa anaitwa nkonze masuha!
oh jamani mbn hivi.pole sana nkonze. cacico unawakumbuka na kina beatus wambali nao walifiwa na baba yao last week!dah!
 
Last edited by a moderator:
Kuna nini mbona maprofesa wanakwisha UDSM? RIP profesa Masuha!
 
du, Mungu wangu, mbona sasa vichwa vya ukweli vinaisha tanzania yetu jamani! wanabaki maprofesa na ma-dr. wa on line/feki tutaendelea kweli? Mungu atunusuru. RIP prof.
 
RIP prof, hakuwahi kunifundisha ila nakumbuka nilisoma manuscript yake enzi za PCET
 
ulikulia mitaa gani?..darajani?simba road?,estate? Kileleni?,mikoroshini? Au wapi? Ilikuwa mwaka gani?
nimezaliwa simba road, then tukahamia kileleni nikiwa 4yrs old mpaka naolewa nimeondokea hapo! Am missing those areas, am missing ud, mpaka leo nasali kanisa la chuo! Nimeshindwa kuhama! Alot of memories down there, kudalikana kidali na fr. Mogella na fr sawia!! Lol! Mmenikumbusha mbaliiiiiiiii!
 
alikuwa anaitwa nkonze masuha!
Oh jamani mbn hivi.pole sana nkonze. cacico unawakumbuka na kina beatus wambali nao walifiwa na baba yao last week!dah!
na josephine kanywani amefariki usiku wa kuamkia leo, so survey kuna misiba miwili!! Anakwaa kule chini jirani na prof nanyaro na dr masenge!!
 
nimezaliwa simba road, then tukahamia kileleni nikiwa 4yrs old mpaka naolewa nimeondokea hapo! Am missing those areas, am missing ud, mpaka leo nasali kanisa la chuo! Nimeshindwa kuhama! Alot of memories down there, kudalikana kidali na fr. Mogella na fr sawia!! Lol! Mmenikumbusha mbaliiiiiiiii!
Hakika basi nitakua nakufahamu,,Unakumbuka enzi za New Years Party Udasa pale watu na Cupons zao za vinywaji na Misosi full kubembea stress free kipindi hicho
 
Back
Top Bottom